Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna vile hii itakua superhighway. Wacha kuota mchana.
Image
SEDWW-950x534.jpg
maxresdefault(42).jpg

Hiyo barabara bado ipo under construction, hapo katikati ni kwaajili ya BRT Lanes, acha kujifariji kijana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2043039
Mna edit picha ili tufanane kwa ma slums, yn Wakenya wanakesha kuharibu taswira ya Tz wkt Watz wala hatuna muda nao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom