Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unajua st Andrew's Turi weewe......
Screenshot_20211213-202815_Opera%20Mini.jpg
Screenshot_20211213-202824_Opera%20Mini.jpg
 
Hii dunia mzima ni Dar tu haina malls kwa suburbs na mnasema mkona strong middle class. 😂😂🤣🤣 Kwani wanashop na kuhangout kwa vibanda.
Malls zilishapitwa na wakati, hayo ni mambo ya 1950's huko, kufika 2005, malls zilianza kufungwa kwenye nchi za watu.
Nikama hamna malls kwa suburbs kama kigamboni au kimara , basi tuonyesheni supermarkets za mtaani kama hii hapa. si mlisema mkona middle class kubwa.
Sio utamaduni wa watanzania kununua vyakula supermarket, hii ni kutokana na historia ya hizi supermaket. Zilipoanzishwa miaka ya 1990 -1992 (mfano Dallas Supermaket na Best Buy Supermarket), walikuwa wanauza baadhi vitu vilivyo expire.

Miaka hiyo (kipindi cha ruksa) Tanzania ilikuwa dampo la vyakula vya nje vilivyoharibika. Wafanyabiashara wasio waaminifu, waliingiza vinywaji kama bia za Stella Artois na watu walibwia kama hawana akili nzuri, kumbe zilikuwa zime expire. Baadae watu wakakosa imani na hizi supermarket.
 
Malls zilishapitwa na wakati, hayo ni mambo ya 1950's huko.

Sio utamaduni wa watanzania kununua vyakula supermarket. Hii ni kutokana na historia ya hizi supermaket, zilipoanzishwa miaka ya 1990 -1992 (mfano Dallas Supermaket na Best Buy supermarket), walikuwa wanauza baadhi vitu vilivyo expire.
Hakuna kitu kama utamaduni, ni pesa hamna.
 
Hakuna kitu kama utamaduni, ni pesa hamna.
Mbona wakikuyu wanapenda kula makande (githeri na mokimoo), vyakula ambayo Tanzania vinaonekana vya kimasikini sana, tena huliwa wakati wa njaa. Lakini sisi tunaelewa kuwa ni utamaduni wenu tuu kula makande siyo kuwa hamna pesa.

Tanzania ni conservative country all the way; kuanzia lugha, mavazi, vyakula, kununua mahitaji sokoni, kuheshimu wakubwa na vingine vingi. Vyote hivi havina influence ya nchi za magharibi.
 
Aliyekuambia kwamba scale inayotumika on a higher altitude ni tofauti na inayotumika on a lower altitude ni nani? Eti Kwamba Kilimani paonekane pakubwa kwenye map when in real sense ni padogo on the ground simply because it's on a higher altitude na sehemu hapo Dar paonekane ni padogo kwenye map wakati in real sense ni pakubwa kuliko inavyokadiriwa kwenye map just because ni lower altitude. Hii ulisoma wapi ndugu?

Mimi ninavyojua ni kwamba scale ndio inadetermine ukubwa au udogo wa eneo kwenye map. Hii ya lower altitude na higher altitude nimesikia hapa na leo

Ukweli uliopo nikua dar cbd ni ndogo sana compared even to Kilimani....picha zote zimechukuliwa 500m kutoka juu sasa tuliza kende uwache kulialiaView attachment 2042357View attachment 2042358

Mimi nadhani nipo sahihi inachotakiwa hapa ni wewe uielewe concept/ point yangu iko wapi.

Kwanza kabisa ramani tulizotumia kama references sio ramani kiuhalisia bali ni setilite image(picha)(vertical photograph taken from sky))

Kama tujuavyo picha /photograph scale yake hua inaenda ikipungua(decreases) from a position of cameraman.

Pia umbali tuliotumia ku-zoom image zetu 500M ni umbali kuokea wapi? juu ama chini?? hapa bila shaka ni kutokea chini katika usawa wa bahari. Kama ni hivyo basi altitude lazima itaathiri scale ya physical features katika photograph kwanini? Kwasababu maeneo mengine yameinuka sana kutoka usawa wa bahari e.g. Nairobi hivyo itakua karibu na cameraman & vice versa is true maeneo yenye low altitude like Dar es salaam yatakua mbali na kameramani.

NB. UKumbuka picha imepigwa kutoka juu angani.

Wewe mwenyewe jaribu kuzoom Nairobi na Mombasa kwa kutumia the same same elevation then focus kwenye hizo features between those two places uone scale ilivyo tofauti.
 
Mbona wakikuyu wanapenda kula makande (githeri na mokimoo), vyakula ambayo Tanzania vinaonekana vya kimasikini sana, tena huliwa wakati wa njaa. Lakini sisi tunaelewa kuwa ni utamaduni wenu tuu kula makande siyo kuwa hamna pesa.
So wale watanzania wanaenda kwa malls hawana utamaduni?😂😂😂 Excuse zingine za kijinga tu, kama disposable income yenu iko chini unakubali tu, sio kuleta excuse hapa eti ni utamaduni. Kwani unadhani malls na supermarkets zinauzwa vyakula tu.
 
So wale watanzania wanaenda kwa malls hawana utamaduni?😂😂😂 Excuse zingine za kijinga tu,
Hivi unajua statistics wewe? Hao wanaotumia supermarket hawazidi hata 0.09% ya watanzania wote.
kama disposable income yenu iko chini unakubali tu, sio kuleta excuse hapa eti ni utamaduni. Kwani unadhani malls na supermarkets zinauzwa vyakula tu.
99% ya Watanzania wanapata mahitaji yao kwenye maduka ambayo yako kila sehemu. Wewe ndiyo mshamba unayedhani malls ni kitu kinachoonesha status, nimekuambia hizi malls ni zao la 1950s na sasa hivi 60% zimeshafungwa.
 
Hivi unajua statistics wewe? Hao wanaotumia supermarket hawazidi hata 0.09% ya watanzania wote.
Hamna a strong middle class, kuna market trends hii dunia zinafanana kila mahali. Kama ni utamduni sahii hata hamngekua na civilization.
 
Hamna a strong middle class, kuna market trends hii dunia zinafanana kila mahali. Kama ni utamduni sahii hata hamngekua na civilization.
Tunatumia lugha yetu ya kiwashili, nchi nzima. Tunafanya uchaguzi zetu kwa amani, hatuna kambi za jeshi za nchi nyingine ndani ya ardhi yetu. Hiyo ni jamii iliyostaarabika.
 
Did you know that over 50% of malls in the US are closed right know, what does that indicate?
Closed ju ya covid but economy inapick up na wameanza kufungua. Plus US wakona online stores na zinafanya tu vizuri, Tanzania hata online bado mumeshindwa. Kenya business retail industry is thriving na inaendelea kugrow kwa kasi sana as many people join the middle class.
 
Did you know that over 50% of malls in the US are closed right know, what does that indicate?
The economic model of the US is not comparable to ours. And still, some malls in the US are still expanding. IKEA is a good example
 
Closed ju ya covid but economy inapick up na wameanza kufungua. Plus US wakona online stores na zinafanya tu vizuri, Tanzania hata online bado mumeshindwa. Kenya business retail industry is thriving na inaendelea kugrow kwa kasi sana as many people join the middle class.
Online shopping ndiyo sasa wako hovyo kabisa. Even Jumia closed their operations in Tanzania.
 
Back
Top Bottom