Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,263
- 18,080
Mnapenda sana kutafuta viexcuses nyinyi watuHivi unajua statistics wewe? Hao wanaotumia supermarket hawazidi hata 0.09% ya watanzania wote.
99% ya Watanzania wanapata mahitaji yao kwenye maduka ambayo yako kila sehemu. Wewe ndiyo mshamba unayedhani malls ni kitu kinachoonesha status, nimekuambia hizi malls ni zao la 1950s na sasa hivi 60% zimeshafungwa.