Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Atuonyeshe mall kigamboni kwanza kabla tuendelee. Hatatutaki one sided battles hapa. 😂🤣
Ajabu kweli .. Kigamboni zipo supermarkets hakuna malls nimehangaika kutafuta picha nimekosa but worry kesho ntapita huko na utapata picha za kuzidi
 
So unaenda usiku huu Kigamboni kujenga mall huko kisha ikifika kesho asubuhi utuletee picha ya mall ya Kigamboni uliyojenga usiku ama?
 
Vizuri na malls na supermarkets lazima waende CBD au kwa wealthy suburbs. Dar ni jiji la kishamba sana walai. Just imagine mtu atoke Kite au Juja eti ameenda tao kushop au kuhangout kwa mall. 🤣🤣🤣🤣
Acha kujifanya unaijua DSM we punguani .. supermarkets ar in every where hapa DSM .. na usichokijua ni kwamba malls kali karibu zote DSM hazipo Upanga, Posta, Kariakoo wala kwenye Rich neighborhoods ..
 
Zipo Mbagala?
 
Kimara hakuna malls, kwanini unalazimisha Kimara au ndio mtaa unaojua DSM.?😂😂
Kwa hivyo within 10km radius around CBD pekee ndio kuna malls. Dar ni jiji la kishamba kweli. 🤣🤣🤣🤣 Ni vizuri umekubali 90% of suburbs in Dar hazina malls. Kesho tunataka kuona hizo supermarkets za mitaa.
 
13 km from CBD 👇 Mlimani City Mall . Halafu usinilishe maneno we mshamba..
 
Back
Top Bottom