Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂 Ila we Chizi unachekesha sana picha zote ulizopost mara ooh East land ni mtaa sijui nini na nini 😂😂 kumbe ni summary ya kitu hiki hapa 👇View attachment 2042127cheap buildings kibao 😂😂😂 kama itajitahidi size yake mikocheni 👇View attachment 2042128View attachment 2042137
Sasa kama hizo ni cheap buildings, hizi Swahili hovels zilizosambaa kila corner Dar tutaziitaje
images (23).jpeg
Screenshot_20210523-235214~2.png
Screenshot_20210515-100611~2.png
Screenshot_20210515-100338~2.png
3001146_1636985233616~2.jpg
3001140_1636985092433~2.jpeg
Screenshot_20210515-100338~2.png
 
Vi apartments havina hata rangi alafu uje kulinganisha na huu mziki mnene, yn hapa zilipo hazijaisha lkn thamani yake ni kubwa kuliko vi apartments vyote vya Kenya, na ndiyo maana World bank ikai rank Tz mbele ya Kenya kwa mbali mno.View attachment 2042146View attachment 2042147View attachment 2042149View attachment 2042150View attachment 2042151View attachment 2042152View attachment 2042155View attachment 2042156View attachment 2042157View attachment 2042158
300 acres of stalled project 🤣🤣🤣🤣 mind you embakasi estate alone is 960 🚮🚮
 
Usijifurahishe kijana tupo hapa kulinganisha estate za middle class na ndio mana mimi sijapost kibera wala slums zenu zingine .. mbona huwa hampendi Fair comparison.? Nini shida.? Ni ukweli mtupu kwamba mahali wanakaa middle class kenya ni cheap apartments
 
Vi apartments vya bati nyekundu juu
 
Wasichokijua ni kwamba suala la apartments DSM ni kitu cha thamani, hatujengi tu hovyo hovyo, nyumba cheap na ambazo hazina madirisha kama kwao 😂😂😂
 
Ss ukitaka battle ya maeneo mabovu ndio utakimbia, ww shikilia kwenye vi apartments vya bati nyekundu juu basi
Tena mwambie atulie tuli, akaze kamba uko uko kwenye apartments zao cheap huu mziki wa maeneo mabovu ndio hauwez kabisa atakasirika, mana uko kwao watu wanaishi kwenye nyumba za mabati kama ndege 😂😂
 
Wasichokijua ni kwamba suala la apartments DSM ni kitu cha thamani, hatujengi tu hovyo hovyo, nyumba cheap na ambazo hazina madirisha kama kwao 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Keep consoling yourselves
 
Wasichokijua ni kwamba suala la apartments DSM ni kitu cha thamani, hatujengi tu hovyo hovyo, nyumba cheap na ambazo hazina madirisha kama kwao
Huwa wanaona tunakaa kmy basi wanadhani hatuna apartments, cc tunajenga kote kote, isitoshe wao vi apartments vya bati nyekundu juu vipo tuu Nairobi, cc zipo Dar, Zanzibar, Moshi, na Dodoma.
 
Utafsiri wa ramani.

Kabisa... unataka kusemaje rafiki.
Aliyekuambia kwamba scale inayotumika on a higher altitude ni tofauti na inayotumika on a lower altitude ni nani? Eti Kwamba Kilimani paonekane pakubwa kwenye map when in real sense ni padogo on the ground simply because it's on a higher altitude na sehemu hapo Dar paonekane ni padogo kwenye map wakati in real sense ni pakubwa kuliko inavyokadiriwa kwenye map just because ni lower altitude. Hii ulisoma wapi ndugu?

Mimi ninavyojua ni kwamba scale ndio inadetermine ukubwa au udogo wa eneo kwenye map. Hii ya lower altitude na higher altitude nimesikia hapa na leo
 
Aliyekuambia kwamba scale inayotumika on a higher altitude ni tofauti na inayotumika on a lower altitude ni nani? Eti Kwamba Kilimani paonekane pakubwa kwenye map when in real sense ni padogo on the ground simply because it's on a higher altitude na sehemu hapo Dar paonekane ni padogo kwenye map wakati in real sense ni pakubwa kuliko inavyokadiriwa kwenye map just because in lower altitude. Hii ulisoma wapi ndugu?

Mimi ninavyojua ni kwamba scale ndio inadetermine ukubwa au udogo wa eneo kwenye map. Hii ya lower altitude na higher altitude nimesikia hapa na leo
Kwahiyo kilimani ni kubwa kuliko Dar, hivi unajisikia upuuzi unaoongea wewe jaluo?
 
Usijifurahishe kijana tupo hapa kulinganisha estate za middle class na ndio mana mimi sijapost kibera wala slums zenu zingine .. mbona huwa hampendi Fair comparison.? Nini shida.? Ni ukweli mtupu kwamba mahali wanakaa middle class kenya ni cheap apartments
Dar kuna middle-class zaidi ya hizo changaduo za uswazi mnazoita dreamhouses?
 
Nikama hamna malls kwa suburbs kama kigamboni au kimara , basi tuonyesheni supermarkets za mtaani kama hii hapa. 😂😂🤣🤣 si mlisema mkona middle class kubwa.

No photo description available.
Mzee super market ni nyingi mno hapa DSM picha ndio kikwazo .. kuna supermarkets au malls kali maeneo ambayo wala hujawahi kuyaskia yakitajwa humu
 
Back
Top Bottom