Mkuu sio kweli kwamba kilimani ni pana/kubwa kushinda hayo maeneo ya Dar es salaam, tena kilimani inawezekana ikawa ndogo mno kwa hayo maeneo.
Hata kwa kuangalia tu unaweza kutambua kua Dar iko too far from ground compared to that section of Nairobi... ijapokua zote ziko measured katika same elevation.
Kwanini Iwe ivyo??? ni kwasababu Dar na Nai zina altitude/elevation tofauti kutoka usawa wa bahari, na kwenye hizo ramani haijazingatia utofauti huo.
=>Dar es salaam ipo lowland with an average of 55M(180ft) kutoka usawa wa bahari. While...
=>Nairobi ipo highland with an average of 1795M(5889ft) kutoka usawa wa bahari.
Kwahiyo bwana mkubwa Pepsi big hizo setilite image ulizoweka zinatofautiana scale hivyo basi mlinganisho wako au wenu majirani unawalakini, la sivyo utafute deference in election iliyopo kati ya Nai na Dar, ndio u-zoom zaidi Dar map ku-compensate, ukifanya hivyo kilimani itatoshana na mtaa ndani kariakoo.
Tizama screenshot hizi nimetumia same elevation lakini features zina-appear kuwa na scale tofauti kutokana na altitude ya eneo husika.
Highland: Nairobi & Arusha
View attachment 2042065View attachment 2042066
Lowland
😀ar es salaam & Mombasa.
View attachment 2042067View attachment 2042068
Unaweza ukajihakikishia mwenyewe kama huamini.
Case closed.