The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Mkuu ngoja kwanza tumalizane kwenye apartments, nimewaambia Tz kuna apartments miji tofauti ss tushindane kwa miji tofauti tofauti na co mji mmoja tu.Me ntakupostia na location zilipo
Mkuu ngoja kwanza tumalizane kwenye apartments, nimewaambia Tz kuna apartments miji tofauti ss tushindane kwa miji tofauti tofauti na co mji mmoja tu.Me ntakupostia na location zilipo
Ukweli uliopo nikua dar cbd ni ndogo sana compared even to Kilimani....picha zote zimechukuliwa 500m kutoka juu sasa tuliza kende uwache kulialiaMkuu sio kweli kwamba kilimani ni pana/kubwa kushinda hayo maeneo ya Dar es salaam, tena kilimani inawezekana ikawa ndogo mno kwa hayo maeneo.
Hata kwa kuangalia tu unaweza kutambua kua Dar iko too far from ground compared to that section of Nairobi... ijapokua zote ziko measured katika same elevation.
Kwanini Iwe ivyo??? ni kwasababu Dar na Nai zina altitude/elevation tofauti kutoka usawa wa bahari, na kwenye hizo ramani haijazingatia utofauti huo.
=>Dar es salaam ipo lowland with an average of 55M(180ft) kutoka usawa wa bahari. While...
=>Nairobi ipo highland with an average of 1795M(5889ft) kutoka usawa wa bahari.
Kwahiyo bwana mkubwa Pepsi big hizo setilite image ulizoweka zinatofautiana scale hivyo basi mlinganisho wako au wenu majirani unawalakini, la sivyo utafute deference in election iliyopo kati ya Nai na Dar, ndio u-zoom zaidi Dar map ku-compensate, ukifanya hivyo kilimani itatoshana na mtaa ndani kariakoo.
Tizama screenshot hizi nimetumia same elevation lakini features zina-appear kuwa na scale tofauti kutokana na altitude ya eneo husika.
Highland: Nairobi & Arusha
View attachment 2042065View attachment 2042066
Lowland😀ar es salaam & Mombasa.
View attachment 2042067View attachment 2042068
Unaweza ukajihakikishia mwenyewe kama huamini.
Case closed.
ngoja nikuulize swali kilimani ni residential area au sio ??? na je kilimani ni kubwa kuliko nairobi CBD??? naomba majibu 😂😂😂😂Ukweli uliopo nikua dar cbd ni ndogo sana compared even to Kilimani....picha zote zimechukuliwa 500m kutoka juu sasa tuliza kende uwache kulialiaView attachment 2042357View attachment 2042358
Huyu jamaa hiki kituko chake hakijawahi kujibiwa, analazimisha kweli kweli, we ukafananishe CBD ya Dar na Kilimani kweliUkweli uliopo nikua dar cbd ni ndogo sana compared even to Kilimani....picha zote zimechukuliwa 500m kutoka juu sasa tuliza kende uwache kulialiaView attachment 2042357View attachment 2042358









Nilishangaa kuona Dar CBD iko na dream houses Ndani😂😂😂Huyu jamaa hiki kituko chake hakijawahi kujibiwa, analazimisha kweli kweli, we ukafananishe CBD ya Dar na Kilimani kweli![]()
Hebu onesha.Ni
Nilishangaa kuona Dar CBD iko na dream houses Ndani![]()
Kigamboni peke yake inatosha kupiga Nairobi, Mombasa, Kisumu, Eldoret kwenye estatesNicxie ili kukuthibisha dar ni kubwa nimechukua baadhi ya maeneo ya kigamboni alone na hapa sijamaliza kigamboni 🤣🤣👇
ila usinichukie plz 😀😀😀😀View attachment 2042325View attachment 2042326View attachment 2042327View attachment 2042342View attachment 2042343View attachment 2042344View attachment 2042345View attachment 2042346View attachment 2042347View attachment 2042348View attachment 2042349View attachment 2042350View attachment 2042351View attachment 2042352View attachment 2042354
Baba Levo alishafunga huu mjadalangoja nikuulize swali kilimani ni residential area au sio ??? na je kilimani ni kubwa kuliko nairobi CBD??? naomba majibu![]()


Wasema Kigamboni gani? Hiliii...😄😁...Hadi watu wanaliitarural..yaani pave road ni shida...Kigamboni peke yake inatosha kupiga Nairobi, Mombasa, Kisumu, Eldoret kwenye estates
Huwa nashangaa tunabattle nini hapa kiukweli, Nairobi is like nothing to us
Kilimani ni Residencial area sawa na kigamboniUkweli uliopo nikua dar cbd ni ndogo sana compared even to Kilimani....picha zote zimechukuliwa 500m kutoka juu sasa tuliza kende uwache kulialiaView attachment 2042357View attachment 2042358
Baba levo ndiyo nani? Ni msemaji wa Tz? Tunaweka vitu hapa na mnashindwa kuvijibu, kama unabisha tuanze mm na wewe, nitaweka picha hapa alafu na ww ujibu, alafu nawe uweke picha na mm nijibu sawa tuanze?Baba Levo alishafunga huu mjadala![]()
Wasema Kigamboni gani? Hiliii...😄😁...Hadi watu wanaliitarural..yaani pave road ni shida...
Hakuna infrastructure yoyote ipo Nairobi ikakosa kuwepo Dar lkn kuna infrastructures zipo Dar na huwezi kuzikuta Nairobi, unabisha tuanze?Kimara Nairobi vs posta,u panga and kariokoo(Baba Levo)View attachment 2042373View attachment 2042374
Kigamboni ya enzi za MkapaWasema Kigamboni gani? Hiliii......Hadi watu wanaliitarural..yaani pave road ni shida...





Ona huu uchafu na eti ni CBD😱,,hii ni aibu kuwa na such structures hapoHebu onesha.
The answer ni Kenya is propagating a consumption economy which in itself is not sustainableWewe unaamini mtu lazima aajiriwe ndio aishi!. Look at this Danganyikan. Have you asked yourself why Kenya has a bigger middle-class population than all the countries you've mentioned despite the high unemployment rate?