Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Ebu niambie ni building gani kati ya hizo umepost haipo hapa.
Ebu niambie ni building gani kati ya hizo umepost haipo hapa.
Ya kwanza kwa ukubwa ni Station ya Dodoma inafuatia Dar halafu MorogoroA few days ago mlisema kwamba hiki kituo cha Morogoro ndio kubwa kuliko vituo zote kando na ile ya Dar. Is this true?
keyword: soft loan
Kama kuna picha inaonyesha Dunia nzima yote pamoja sasa Dar itakosekanaje? Nyinyi wabongo huwa hamna akili kabisa. Halafu hiyo picha uliyopost haifiki hata 20% ya Nairobi, Hapo ni main CBD part of Westlands, part of Ngara, Upperhill, Kilimani na Nairobi West na Langata. Na ni picha ya kitambo na bado inaonyesha mji uliopangika, sio huo uswazi wenu wa Dar mtu akipiga picha ya mbali unakaa hivi: -Huwezi kukutana na picha moja ikaonyesha Dar yote never Ila photos of the tinny town of yours 👇View attachment 2040847utaninyesha nini nje ya hapa ☝️ 😂😂 mbuga za wanyama au .. we endelea kutafuta unplanned settlements zikufariji
Hapo msaada ni lugha ya kisiasa benki inafanya biashara , mkopo Ndio uhalisia na tutalipa.So unataka kujifanya hiyo the word "msaada" hujaona?😂😂
Hiyo excuse can only convince dumb people like you. It has been clearly stated that you will be given grants by the bank.Hapo msaada ni lugha ya kisiasa benki inafanya biashara , mkopo Ndio uhalisia na tutalipa.
zoom sasa basi picha imepigwa km 20 kutoka juu 😂😂😂
umepanic sasa au?? 🤣🤣🤣Old as usual. This is the only thing you are good at.
the word soft loan umeiona 😀😀😀 hii ndio mikopo sisi tunapenda sio nyie mchina anawachakaza anavotakaSo unataka kujifanya hiyo the word "msaada" hujaona?😂😂
mm nimejitahidi kuizoom kwa karibu ili tuone ww na mzungu nani mwenye akili 😂😂😂 yani mzungu aweke sattelite hewani kwa trillions of usd alafu aone slum za ulimwengu mzima asione ya dar peke yake 🤣🤣🤣Kama kuna picha inaonyesha Dunia nzima yote pamoja sasa Dar itakosekanaje? Nyinyi wabongo huwa hamna akili kabisa. Halafu hiyo picha uliyopost haifiki hata 20% ya Nairobi, Hapo ni main CBD part of Westlands, part of Ngara, Upperhill, Kilimani na Nairobi West na Langata. Na ni picha ya kitambo na bado inaonyesha mji uliopangika, sio huo uswazi wenu wa Dar mtu akipiga picha ya mbali unakaa hivi: -
Note: I deliberately posted a photo that shows the BRT because vile nawajua wabongo mngekana kabisa hapo sii Dar. eti, 'puruuv zisi isi Dar es salaam.
View attachment 2041141
Hizi zote zipo kwenye hiyo picha 🤣🤣🤣🤣🤣Onyesha Prism Tower in that your picture.
Onyesha Parliament Tower
Onyesha CBK Tower
Onyesha Hazina Tower.
Onyesha Upper hill Chambers
Onyesha KCB Tower
Onyesha UoN Tower
Onyesha Britam Tower
Onyesha UAP Tower.
washaanza kujikanyaga sasa 🤣🤣🤣🤣Hizi zote zipo kwenye hiyo picha 🤣🤣🤣🤣🤣
hii ndio kitu wanashindana na dar kila siku 😂😂😂😂😂😂😂
Two rivers skyline is better than arusha town
Hamna pa kujitetea kwa Tanzania,tunawalisha Chakula hadi LPG 😁😁Yes, we pay our debts, unlike Tanzania.