The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Mtanzania Hasa A Kingo awa Jaji Nchini Marekani
Huyu ni Mtanzania kutoka kijiji cha Msanga kwa Dibibi, Wilaya ya Kisarawe. Leo ameapishwa kuwa Jaji wa Mahakama jiji la New York. Anaingia kwenye rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kuwa Jaji nchini Marekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa anajipiga own goal