Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu kuna wapuuzi humuhumu wanajipiga kifua eti Tz ni nchi ya City moja.. 😂😂 swali la kujiuliza kama hii Kisumu ni City, Arusha iwe nini.?
😂😂😂😂 kisumu ni uozo wa bata yani huo mji hakuna anaeza nidanganya mm hapa
 
One of the five helicopters available in Tanzania.
Za gharama kuliko ndege zote za jeshi la kizembe na lisilo na historia ya kushinda vita
JamiiForums-907510154.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tuende pole pole, baada ya premier, which countries were the first to order? Najua South Africa Toyota ilikua supplied in August,

Kenya zimekua kabla ya launch na Toyota Kenya, niko kwa fb group ya magari, tuliziona mapema kidogo kwa streets, ata na za plate ya south sudan SSD, wewe unabweka humu tu., same na Landrover Kenya., gari zilifika kabla ya Landrover Kenya ku launch., wacha nikufunze, unaeza kununua kwa dealers, ama kwa Toyota wenyewe., am sure imefika Toyota Tanzania hii November ama December, lakini kuna matajiri walinunua direct from international dealers kabla ifike Tz rasmi, nadhani unanielewa., fanya hivi, check with Toyota Tanzania kisha rudi unielezee, get their number kwa website yao kisha uwapigie simu uulize nikama unataka kununua, ask them when they received, ama kama zimeisha when is the next delivery, uje unia hadithie., mimi sio mwehu kaka.,
na hii iko zanzibar mamaee😂😂😂 utahara bure nakwambia

na hapa kajibiwa ziko kama 6 arusha just imagine sasa😀😀😀😀
 
na hii iko zanzibar mamaee utahara bure nakwambia

na hapa kajibiwa ziko kama 6 arusha just imagine sasa
Mbona zipo tu za kumwaga, tatizo wanaonua wanapigwa, facelift ndio inawazuzua watu wasiojielewa
 
tuende pole pole, baada ya premier, which countries were the first to order? Najua South Africa Toyota ilikua supplied in August,

Kenya zimekua kabla ya launch na Toyota Kenya, niko kwa fb group ya magari, tuliziona mapema kidogo kwa streets, ata na za plate ya south sudan SSD, wewe unabweka humu tu., same na Landrover Kenya., gari zilifika kabla ya Landrover Kenya ku launch., wacha nikufunze, unaeza kununua kwa dealers, ama kwa Toyota wenyewe., am sure imefika Toyota Tanzania hii November ama December, lakini kuna matajiri walinunua direct from international dealers kabla ifike Tz rasmi, nadhani unanielewa., fanya hivi, check with Toyota Tanzania kisha rudi unielezee, get their number kwa website yao kisha uwapigie simu uulize nikama unataka kununua, ask them when they received, ama kama zimeisha when is the next delivery, uje unia hadithie., mimi sio mwehu kaka.,
Kununua gari toyota direct sio rahisi mzee
 
🤣🤣🤣🤣🤣povuu tayari nimekuuliza swali dogo tu manunuzi ya ndege ni kiasi gani??

mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serekali anaekosa usingizi juu ya 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Siezikosa usingizi juu ya nchi maskini kama Tanzania.
 
Back
Top Bottom