Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

VItu vingine kama hujui uliza. Gari za UK ni RHD na za USA ni LHD.
 
Tent na gogo kipi ni kizito zaidi kwa ujazo uleule?, kwahiyo huko Gym wakinyanyua vyuma vizito unadhani ni wajinga?, Kenya hamna alili
Issue si uzito issue Ni mbona akimbie Na gogo? For what purpose? Kuonyesha ana misuli au hehe jokes Bora angekimbia Na bidhaa muhimu za survival
 
Yaani kujadiliana Wakunya naonaga ni kichefuchefu, sijawahi kuona mijitu primitive kama hii, Yaani ni typical village debating, hawana exposure kabisa
 
Facelift., mutumba not 2022 L300., , ata South Sudan wanazo mingi tu, nilijua nyie mazuzu kweli, huwezi tofautisha facelift na real deal, zero mileage [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sishangai akili ndio huwa hunaga[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]izo set za kufanyia facelift unazitoa wapi ikiw gari yenyew ndio imezinduliwa?...apo facelift ni kuanzia mwakani ...wacha aibu ndogo ndog
 
Hizi sio karatasi? Mpaka mnatia uvivu namna mlivyo waporipori

 
Naombeni tujaribu kuwaelew hawa watu mana kwao v8 ni utajir ..mesahau tuvyo post v8 za polisi wavyo kuwa hawamini macho yao[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…