Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,290
- 107,924
tanzania ya 6 kwa umaskini duniani alaf tunawacheka india yenye viwanda na technology za kika aina, yenye nucleur etc
leo hii daladala asilimia 50% ni tata na eicher from india
View: https://www.instagram.com/p/DfIE-T6CPYU/?img_index=3&mdxt=MXVod3dzOGprcHZyeQ==
kama kusema ukweli niKaka unaichukia Tanzaniaso uende Yemen kotovu chako? Unafanua nn?
kama kusema ukweli ni
chuki basi tutafika tumechoka sana haya basi ngoja nibadilishe kwenye tanzania niweke kenya hapo vp 🤣🤣🤣🤣🤣
haya kenya ni ya 6 kwa umaskini duniani asante, are u happy now
View: https://www.instagram.com/p/DfIE-T6CPYU/?vrfl=MXVod3dzOGprcHZyeQ==
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 haya sawa asanteUnaokota okota sana vijitaarifa. Ukiambiwa acha mirungi, unaona unatukanwa
kama kusema ukweli ni
chuki basi tutafika tumechoka sana haya basi ngoja nibadilishe kwenye tanzania niweke kenya hapo vp 🤣🤣🤣🤣🤣
haya kenya ni ya 6 kwa umaskini duniani asante, are u happy now
View: https://www.instagram.com/p/DfIE-T6CPYU/?vrfl=MXVod3dzOGprcHZyeQ==
tender kwenye nn tena mzee, labda tender ya kua chawa hio nimeikataa mwenyewe🤣Umenyimwa tender kiaina!
So Mombasa now help her big bro?Saba saba,Mombasa, ...nayo vipi mkuu? ...View attachment 3701798View attachment 3701799
Below average and average intellectuals wataona ni kujitangaza kiutalii lakini all above average intellectuals, Kenyans and none Kenyans alike, wanatambua huu ni ujinga wa hali ya juu sana.
Timu yao ya taifa hata mishahara nchi inastrago kulipa na juzi tu wachezaji waligomea mazoezi kudai malimbikizo yao ya miezi kadhaa.
The ability to reason is what helps us figure out what is right and wrong in any given situation.
Just remember, no one can see beyond their own horizons; unless, of course, they have are above average!
View: https://x.com/MickyJnr__/status/2115845200878657543