Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kilimani ina kitu gani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
ikiwa robo tatu ya nanirobi imo ndani humo mpaka ukubwa wote wa misitu pia ndani
Usiandike kwa mate na wino upo.., city centre moja tu, mengine ni shopping centres ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
1638956864449.jpeg
 
wala hakua na roho mbaya ndio alikua anataka muache kuishi kwa mazoea sio munaleta mifugo yenu wanaharibu misitu ya tanzania alaf munakaa munakenua meno [emoji1787][emoji1787] magu ndio alikua kiboko yenu miaka 5 mumeona kama miaka 50
Tulikuwa tukiwatreat poa wanasema bongo shamba la bibi jpm akasema hawanijui hawa...
Hamuoni saa hizi nani anaita tz shamba la bibi..
Kifupi tz usipotupa heshma yetu tunachukua kwa nguvu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] City centre moja kwisha! zingine ni shopping centres.., sehemu ya maana Dar., [emoji23]
View attachment 2037039
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
JamiiForums101421691.jpg
JamiiForums-1233823577.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom