ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
basi wailete huku tuizibue 😂😂😂Imeziba.
basi wailete huku tuizibue 😂😂😂Imeziba.
Haukwepi, mbona ukaweka Kampala? 👇 👇 unajua Tom Mboya street inafanana aje in 2021? unapata tabu nani 😂 😂 😂 😂 😂 😂Kampala au sio, jengeni wacheni ujinga, watu tunatumia pesa nyingi kubadilisha nchi nyinyi mnabaki kupakataa kwenu
![]()
Revealed: Cause of traffic congestion in Nairobi - Daily Active
The Nairobi road crisis has been looming around for awhile now. Most, if not all major Nairobi routes are a pain in the rush hours. So, what is the cause…dailyactive.info
Find similar images using
View attachment 2037201![]()
Search By Image - Apps on Google Play
Find similar images using SIMPLE, FAST search by image appplay.google.com
Sent using Jamii Forums mobile app
hii ni kilimani kweli bro 🤣🤣🤣🤣
Mna sehemu nyingine ya maana zaidi ya hapa 👇 👇 👇 Kwa hizi buildings za maana ndio mtazunguka angles tofauti na lipstick, CBD moja, city moja 😂 😂 😂 😂 😂 kwingine ni shopping centres tu.., na uswazi.,Vipicha hivi hivi mnavizungusha since day one, mnachobadilisha ni lipstick tu, leo picha itaonekana ya blue kesho picha hyo hyo itaonekana ya green
Sent using Jamii Forums mobile app
tofaut nn🤣🤣👇👇👇Haukwepi, mbona ukaweka Kampala? 👇 👇 unajua Tom Mboya street inafanana aje in 2021? unapata tabu nani 😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2037211
Bro na hapa 👇 👇 ni Kenya Amboseli kweli ama ni Kilimanjaro Tanzania?.., fikra zako hizi, tuone zinakufikisha wapi 😂 😂 😂 😂
😂😂😂 Hii battle hushindi mzee .. naona umepost picha za mall, umepost hadi nyanya 😂😂😂 fala kweli wewe jamaa, na bado hapo sio mbali from NAIROBI CBD kulinganisha umbali wa Dar city center hadi hapo mawasiliano na mlimani City.. kwanza picha nilizoweka mimi kuna mpaka skyscrapers, hapo chini pia kuna malls mlimani City na mall mpya moja kubwa EA U/C hapo kuna interchange pia, kuna vituo vikubwa UDSM na TZ school of law hapo, majengo ya Dawasa,TBS na hotels mingi, hapo pia kuna stendi ya daladala na stendi juu mpya ya mabasi yaendayo haraka, nimeshawahi kuweka picha humu ambazo nilipiga kwa mkono wangu, kiufupi hapo kuna huduma karibu zote, sasa sijui Kati ya mtaa ulizoweka wewe na mtaa niliyopost mimi ni mtaa gani inastahili kuwa shopping center na upi utastahili kuwa City center . yani kubishana na mtu mzima wa hovyo kama wewe ni raha sana kwasababu huna akili na ntakuendesha nnavyotaka.. subiri nitulie nije na picha za full mkoko nikunyooshe mbweha weweSkyscraper moja ama mbili ni kitu ya kuongelea, na tunajua hiyo sehemu iko vipi kote kote., dogo kua serious wakati mwingine., tulieni na hiyo city centre moja tu., kisha City moja tu nchi mzima 😂 😂 😂 😂 .,,
Off Mombasa road.., class vs gorofa mbili 😂 😂 😂
View attachment 2037150
View attachment 2037151
View attachment 2037152
View attachment 2037153
View attachment 2037163
View attachment 2037164
View attachment 2037165
View attachment 2037166
Battle ilishafungwa..tukutane baada ya miaka 25..all your claims now are Null and void...ama unataka baba levo arudie kwa lugha gani?ya kinyamwanga ,kinyamwezi ama?😂😂😂 Hii battle hushindi mzee .. naona umepost picha za mall, umepost hadi nyanya 😂😂😂 fala kweli wewe jamaa, na bado hapo sio mbali from NAIROBI CBD kulinganisha umbali wa Dar city center hadi hapo mawasiliano na mlimani City.. kwanza picha nilizoweka mimi kuna mpaka skyscrapers, hapo chini pia kuna malls mlimani City na mall mpya moja kubwa EA U/C hapo kuna interchange pia, kuna vituo vikubwa UDSM na TZ school of law hapo, majengo ya Dawasa,TBS na hotels mingi, hapo pia kuna stendi ya daladala na stendi juu mpya ya mabasi yaendayo haraka, nimeshawahi kuweka picha humu ambazo nilipiga kwa mkono wangu, kiufupi hapo kuna huduma karibu zote, sasa sijui Kati ya mtaa ulizoweka wewe na mtaa niliyopost mimi ni mtaa gani inastahili kuwa shopping center na upi utastahili kuwa City center . yani kubishana na mtu mzima wa hovyo kama wewe ni raha sana kwasababu huna akili na ntakuendesha nnavyotaka.. subiri nitulie nije na picha za full mkoko nikunyooshe mbweha wewe
Sasa si itabidi umejilaumu mwenyewe hujawaii tembea Nairobi uone kama ni filter ya ukweli ama uongoVipicha hivi hivi mnavizungusha since day one, mnachobadilisha ni lipstick tu, leo picha itaonekana ya blue kesho picha hyo hyo itaonekana ya green
Sent using Jamii Forums mobile app
Siko hapa kushinda dogo, hakuna battle kati ya Nairobi na Dar kaka., ngojeni 25years 😂 😂 😂 😂 , hako ka sehemu umepost nakajua bana, and its surroundings., hapatoshi.,😂😂😂 Hii battle hushindi mzee .. naona umepost picha za mall, umepost hadi nyanya 😂😂😂 fala kweli wewe jamaa, na bado hapo sio mbali from NAIROBI CBD kulinganisha umbali wa Dar city center hadi hapo mawasiliano na mlimani City.. kwanza picha nilizoweka mimi kuna mpaka skyscrapers, hapo chini pia kuna malls mlimani City na mall mpya moja kubwa EA U/C hapo kuna interchange pia, kuna vituo vikubwa UDSM na TZ school of law hapo, majengo ya Dawasa,TBS na hotels mingi, hapo pia kuna stendi ya daladala na stendi juu mpya ya mabasi yaendayo haraka, nimeshawahi kuweka picha humu ambazo nilipiga kwa mkono wangu, kiufupi hapo kuna huduma karibu zote, sasa sijui Kati ya mtaa ulizoweka wewe na mtaa niliyopost mimi ni mtaa gani inastahili kuwa shopping center na upi utastahili kuwa City center . yani kubishana na mtu mzima wa hovyo kama wewe ni raha sana kwasababu huna akili na ntakuendesha nnavyotaka.. subiri nitulie nije na picha za full mkoko nikunyooshe mbweha wewe
Battle ilishafungwa..tukutane baada ya miaka 25..all your claims now are Null and void...ama unataka baba levo arudie kwa lugha gani?ya kinyamwanga ,kinyamwezi ama?
Hivi izo building zenu tatu plus PPF tower mmezizungusha Mara ngapi? We already did a comparison and Nairobi had 45 buildings over 20 floors while Dar had 20. Sasa nani ako na majengo mengi ya kupost?🤣Vipicha hivi hivi mnavizungusha since day one, mnachobadilisha ni lipstick tu, leo picha itaonekana ya blue kesho picha hyo hyo itaonekana ya green
Sent using Jamii Forums mobile app
What's the distance from here to Nairobi CBD.?Siko hapa kushinda dogo, hakuna battle kati ya Nairobi na Dar kaka., ngojeni 25years 😂 😂 😂 😂 , hako ka sehemu umepost nakajua bana, and its surroundings., hapatoshi.,
Hapa 👇 👇 sio uppehill, wala westlands or CBD., na sio Eastleigh wala Ngara.., ni kasehemu Mombasa road
View attachment 2037255
Sehemu ya Ngong road
View attachment 2037253
Sehemu ya Thika road.., sio yoote..,
View attachment 2037254
Hawataki baba levo, yeye hana akili kushinda mzungu.., wacha mzungu awaeleze nani ni babe EAC na central., infact Sub saharan Africa nje ya SA.,
Pengine wataamini mzungu., huyu clip yake ya kwanza alipofika Kenya aliisifia Tanzania ambapo alikua ametoka, lakini baada ya kuishi Kenya ali tii na kukubali, kisha baba Levo akafuata 😂 😂 😂
Mzee ambae upo radhi uongee uongo Ili uonekene wew ndio upo vizur 😂😂😂Hivi izo building zenu tatu plus PPF tower mmezizungusha Mara ngapi? We already did a comparison and Nairobi had 45 buildings over 20 floors while Dar had 20. Sasa nani ako na majengo mengi ya kupost?🤣
Dogo sasa unataka tuanze kulinganisha mandhari kutokana na distance from CBD?.., utahama uzi dogo., wewe tafuta map kwa google, kisha utafute youtube clips uone sehemu zote beyond 10km or 20kms from CBD.,., utaingia hadi Metro region ujionee mwenyewe ukahadithie wenzako kule vijiweni, I don't have to prove anything to you kaka.,What's the distance from here to Nairobi CBD.?
Dodoma might look better, kama wataendelea na miundo mbinu wanazo weka, then it attracts investors, so long as mifukara wasikimbilie kule kutoka vijijini na miji za kimasikini za pwani na kujaza Dom ifanane kama sehemu kubwa ya Dar na mitaa za Mwanza, ila bado Dodoma imeparara., check out youtube clips zake, aerial views na street level.,Baba levo alienda kudhibitisha..ata yeye mwenyewe kwenye clip alisema alienda kutafta umbeya..akapigwa na butwa...napenda venye huyo mwnezake alikua akishabikia Airport yao..Baba levo kamjibu.." Umekufa wewe"......sasa kazi kwisha..ashaleta ushuhuda..kwa sai ni kufurahishana tu ..tunga ngoja miaka 25..alafu tuone kama kuna mabadiliko...lakini sioni..kama bado wako na ile serikali yenye Tony254 husema ''Tuta'' "Tuta"...
Cool, a section of UpperHill "city centre", Kimara ya Nairobi 😂 😂 😂 😂 😂 weka Kimara nione..,
View attachment 2037033
View attachment 2037035
View attachment 2037036
Au huyu sio wewe huyu ulitaka kimara nikakuuliza unaujua umbali wa kutoka Kimara mpaka City center.?Dogo sasa unataka tuanze kulinganisha mandhari kutokana na distance from CBD?.., utahama uzi dogo., wewe tafuta map kwa google, kisha utafute youtube clips uone sehemu zote beyond 10km or 20kms from CBD.,., utaingia hadi Metro region ujionee mwenyewe ukahadithie wenzako kule vijiweni, I don't have to prove anything to you kaka.,