Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
Umemaliza mkuu🤣🤣🤣🤣🤣
Umemaliza mkuu🤣🤣🤣🤣🤣
Safi Sana 👏👏Wacha ujinga kipindi TPA inabuniwa tender ya K&M Archplan ilikuwa-procured na Dar es Salaam Office iliyokuwa chini ya managing partner Prof wa Kibongo! Ndo maana tangu ajitoe hamna tender za maana K&M Archplan inapata!
Ndo walivyo mkuu🤣🤣🤣🤣Hii ni Habari kweli?
Hapa practical hawapati shida.View attachment 2036830😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Asante. Wewe huwa muungwana siku zote. Sio kama hawa watu wenye wivu akina ichoboy01 Geza Ulole na The best 007Nimeufuatilia hii project tunapaswa kuwapongeza itabadili sura ya Nairobi kwa kiasi kikubwa!!!!Labda shida ije tu kwenye malipo I mean Toll fee!!!Hon higereni!!!!
Wewe wacha hasira. Parliament yenu mpya huyu Mkenya ndiye aliidesign. Sio jengo la TPA pekee. Nenda kalilie chooni.Wacha ujinga kipindi TPA inabuniwa tender ya K&M Archplan ilikuwa-procured na Dar es Salaam Office iliyokuwa chini ya managing partner Prof wa Kibongo! Ndo maana tangu ajitoe hamna tender za maana K&M Archplan inapata!
sisi tunachoshangaa ni mikataba mibovu 🤣🤣 project ya mchina pesa ya mchina na bado mutalipa mchina toll fee kwa miaka 30 ww inakuingia akilini kweliAsante. Wewe huwa muungwana siku zote. Sio kama hawa watu wenye wivu akina ichoboy01 Geza Ulole na The best 007
Can never be. We can clearly see who has a better education system.Mwanza mall too. Halafu bado watakuambia their education is better than ours.
anza na hii leo 👇👇👇Can never be. We can clearly see who has a better education system.
kwann munachoma shule kila leo munalaana au??Wewe wacha hasira. Parliament yenu mpya huyu Mkenya ndiye aliidesign. Sio jengo la TPA pekee. Nenda kalilie chooni.
Cc NairobiWalker




.mambo kama haya hamuongelei kabisa 😀