Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unatafuta kwa kutokea after upuzi kujua tumewacha na mbali number 119 kwa maths na sciences
Kwamba majengo kila siku yanaporomoka yale yaliyojengwa na engineers wa kikenya na bado mnataka kushindana, idadi ya engineers tumewaacha mbali na bado mnataka kushindana, kubali tu
Screenshot_20211205-170101.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rwanda-Tanzania SGR to go to eastern DRC

C9Nmj-UXsAAYaP8.jpg

SGR.jpg

A plan by Tanzania and Rwanda to extend the joint standard gauge railway line to link Kigali and Rubavu on the border with the Democratic Republic of Congo seems to have gained fresh impetus after President Felix Tshisekedi’s recent visit to Dar es Salaam.

Kinshasa has given the green light for a feasibility study to be carried out to pave the way for the stretch to its eastern border.

President Tshisekedi said in Dar es Salaam that the extension of the SGR to Rubavu will open up trade opportunities for the country which, according to a TradeMark East Africa report, depends entirely on the ports of Dar es Salaam and Mombasa for its imports and exports.

The detailed design for an extended line from Isaka in Tanzania to Kigali in Rwanda, covering 575km, was agreed on and both countries are going to finance the project at a cost of $2.5 billion, with Tanzania paying $1.3 billion and Rwanda $1.2 billion. Rwanda will incur another expense to cover the extended line to Rubavu.

ASSURANCE

President Tshisekedi assured President John Magufuli of Tanzania of increased volumes of his country’s exports and imports through Dar es Salaam, which will be connected with the SGR when is complete.

The Dar es Salaam port handles an annual average of 1.76 million tonnes of goods destined to and from the DRC.

Tanzania’s SGR is 1,457km from Dar es Salaam to the shores of Lake Victoria, and is among the $7.5 billion worth of mega projects the government has planned to undertake over the next five years.

The government has given the priority to the project during the next financial year’s budget. In May, parliament approved a Tsh4.9 trillion ($2.1 billion) budget for the Ministry of Works, half or Tsh2.5 trillion ($1 billion) of which went to the SGR project.

Rwanda-Tanzania SGR to go to eastern DRC
 
Facts vs twitter propangandaView attachment 2034344
Acha kuwa mpumbavu wewe hiyo ni fact ya wapi.? Kwamba mnawazid Soud Arabia 😂😂😂 Watu wenye walileta civilization duniani.? Na kwamba China na Russia ni namba 50s 😂😂😂 Watu wenye wanaiongoza hii dunia, every project you see in Africa ni china ndio wanajenga... eti na Rwanda nimeiona ipo kwenye list 😂😂😂 .. owky, by the way elimu ni matokeo ya ulichosoma sio kelele . Ni mradi gani hapo kwenu mnatengeneza wenyewe .? Hayo magorofa yanayoanguka kila siku.?
 
Acha kuwa mpumbavu wewe hiyo ni fact ya wapi.? Kwamba mnawazid Soud Arabia Watu wenye walileta civilization duniani.? Na kwamba China na Russia ni namba 50s Watu wenye wanaiongoza hii dunia, every project you see in Africa ni china ndio wanajenga... eti na Rwanda nimeiona ipo kwenye list .. owky, by the way elimu ni matokeo ya ulichosoma sio kelele . Ni mradi gani hapo kwenu mnatengeneza wenyewe .? Hayo magorofa yanayoanguka kila siku.?
Mwambie apite hapa

Nenda ukateteshe world economic forum, hio ni data yao si yangu
 
A average train is longer than pugu station from end to end, considering each wagon has a door it means some will alight/aboard wakiwa outside the premises
EMU huwa siyo ndefu kutokana na limitations za physics of motion.

EMU ikiwa katikati ya kona au muinuko inabidi yote iwe kwenye curvature ya reli, la sivyo haita kuwa na stability, kutokana na speed yake kubwa.

Hili tatizo huwa halipo kwenye hizi treni za polepole.
 
Kuna chizi moja la kikenya eti kwasababu ya vi apartments vyao kadhaa na expressway likiskika likitaja kwamba NAIROBI ni zaidi ya jb SA .. haya hii ni Capetown. Mkenya mwenzenu alienda kushangaa mji wa Africa wenye viwango vya first world countries 👇.
 
EMU huwa siyo ndefu kutokana na limitations za physics of motion.

EMU ikiwa katikati ya kona au muinuko inabidi yote iwe kwenye curvature ya reli, la sivyo haita kuwa na stability, kutokana na speed yake kubwa.

Hili tatizo huwa halipo kwenye hizi treni za polepole.
Halafu kingine, coaches allocation system inaweza tumika kama ilivyo kwa treni za sasa za ordinary na deluxe. Kila station ina mabehewa yake, watu wa Kigoma wanajua kabisa mfano ktk ordinary train wanapanda behewa J, H na F na ikiwa deluxe ni mabehe ya DT 1, DT 2 na DT 3 na siyo kujipandia pandia tuu. Kwa hiyo kwa case ya station kama Pugu inaweza tumika pia coaches allocation system ambapo watu wa Pugu stn wakawa na mabehewa yao ambapo train ikifika pale yanakua sambamba na platform ya Pugu stn halafu watu wanapanda na kushuka bila kujali urefu wa treni.
 
Na ndio mana nikasema kwamba 2023 tukimaliza mradi huo, naiona DOM like this 👇. Naongea na wewe bwana NairobiWalker .. vipi uko na la kujitetea.?

I lived in both cities (Kasoro Dodoma), to me Dodoma will be far Ahead of Nairobi na Dar es Salaam (May be kama tutaamua ishindane na Dodoma) in Next 25 years, tunachohitaji ni political will.

Ukifika parklands utaona kabisa Kinachojengwa mtumba ni 10 times better na Parklands, na bado kuna Dodoma Urban, kuna chamwino
 
Acha kuwa mpumbavu wewe hiyo ni fact ya wapi.? Kwamba mnawazid Soud Arabia 😂😂😂 Watu wenye walileta civilization duniani.? Na kwamba China na Russia ni namba 50s 😂😂😂 Watu wenye wanaiongoza hii dunia, every project you see in Africa ni china ndio wanajenga... eti na Rwanda nimeiona ipo kwenye list 😂😂😂 .. owky, by the way elimu ni matokeo ya ulichosoma sio kelele . Ni mradi gani hapo kwenu mnatengeneza wenyewe .? Hayo magorofa yanayoanguka kila siku.?
Who designed TPA tower?
 
Back
Top Bottom