Nothing special....but one of your fellow thought it isn't safe....meaning he never knew such thing exists!Whats so special about that?, kwani unadhani kenya hazipo?
Mwenzenu anatafuta political mileagesFeb show off sana,sidhani kama kalemani au prof muhongo kwenye hali kama hii tunayopitia tungewaona mitandaoni wakipost wapo angani na helikopta,kuongea na balozi wa US au kwenda uarabuni,jamaa ovyo sana yule
Ipo ipi?Whats so special about that?, kwani unadhani kenya hazipo?
Yaani kenya ni huku kusiniMkunya mmoja kataamaki kweli alivyoona Tanzania inapitisha umeme chini ya maji nikajua kumbe hapa hawapo kimakosa
View attachment 2034623

Hako kajengo kamoja ndio 90%We jamaa mbona muongo muongoau Unatafuta kujifariji, eti hizo picha umepost unadai eti tumesema ni 90% ya mradi kweli.? . Haya heb enjoy the view ..halaf skia hizo ni barabara tu 51km.. na haya ndio majengo yatajengwa hapo
. Na huu ni uzinduzi wa hayo majengo, jana waziri mkuu alitembea moja ya majengo hayo ambayo yapo under construction
. Pia alifanikiwa kupita kuona mradi wa jengo la kitegauchumi Dodoma (Government City complex) View attachment 2031653View attachment 2031654View attachment 2031655View attachment 2031656
Naona unajifurahiisha.. hakuna mji wowote hapo kwenu kando ya NAIROBI utawezana Dodoma hata robo tu, usijidanganye kijana.. hizo tatu City sijui ndio usitaje kabisa
hiyo njia sasa hivi haieleweki mpaka ikikamilika ndiyo mambo yatakuwa superBrt Phase 2....tumenasa hapa Mama anaenda Kigamboni kufungua kiwanda cha vifaa vya umeme. Moja ya viwanda vikubwa Afrika.
View attachment 2034633
Someone who's never seen a cow will be amazed by it while it may look so normal to the rest.Whats so special about that?, kwani unadhani kenya hazipo?
Kombamwiko(mende) museum
Mwaka wa tano Nyongo ana-launch tuu...mujenge kwanza asante kwa render🤣🤣🤣
Huyo urais atauskia bombani wizara tu imemuonesha picha yake halisi .....Mwenzenu anatafuta political mileages
He's a presidential aspirants
And he won't cease to do those show off cause anaona zinamleta sifa
Trust me atachukua form huko mbeleni
Brt Phase 2....tumenasa hapa Mama anaenda Kigamboni kufungua kiwanda cha vifaa vya umeme. Moja ya viwanda vikubwa Afrika.
View attachment 2034633
Wanatengeneza vifaa gani vya umemeTanzania inafunguka sasa.. hawa majiran jeuri nao tutawatawala kila kitu.. kuanzia chakula, umeme hadi kila kitu yan
View attachment 2034665
Wanatengeneza vifaa gani vya umeme