Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Only on your new roads, kenya street lights ziko ndani ya estate boss, dar inakuanga giza tu,
Pole sana Dar haina mapori mzee .. Dar yote inawaka taa usivyojua wewe, we mwenyewe si unaona hapa 👇
EkGWtWHWoAEEHbk.jpg
Eu-YKNVXYAI_sbk.jpg
taa zinawaka balaa na hii ni KMs away from CBD😂😂
 
Unajua nyie watu ni wajinga sana, Mathematics ndio Engineering yenyewe, alafu mnataka kuwa juu ya Tz ilihali mko hovyo kwenye engineering, majengo kila siku yanadondoka, reli ya SGR hakuna mkunya alibeba japo tofali, mkawaachia wachina mpk welding na bado mnataka kushindana na Tz View attachment 2034137

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipoona Burkina Faso nkaacha kusoma🚮🚮
images (7).jpeg
 
Back
Top Bottom