Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

How long does it take to alight/board a train?! Few minutes if not seconds.
In case of WAITING for the train, they will do so in WAITING LOUNGE.
A average train is longer than pugu station from end to end, considering each wagon has a door it means some will alight/aboard wakiwa outside the premises
 
E6ay59rWYAAmaZk.jpeg
 
Buda hujanielewa kabisa, boarding platform ya pugu station ni ndogo sana, swali ni je kuna uwezekano mkapandia treni nje juu train ya kawaida inashinda urefu wa pugu.
Umesoma mpaka darasa la ngapi.? Unachoongea hapa ndicho nilichomjibu mwenzako, boarding platform is not necessary kuwa ndefu kulingana na urefu wa treni, kwasababu hiyo ni sehemu ya kupandia treni tu na sio kwamba watu wanakaa hapo kupanga mstari mnyoofu, hata treni iwe ndefu kuzidi hiyo platform bado haithiri chochote .. ndio mana nikakuuliza umeshawahi kupanda treni au unajionea kwa picha na video tu.?
 
Sema mtapanga mstari mmoja🤣🤣🤣
 
Nimepata taarifa Hii new bagamoyo road imejengwa na kampuni kubwa ya Japan inaitwa Nippo Dai Nippon Joint venture ambayo imejenga airport na highway mbali mbali huko japan .
Hii ni mfano wa high quality infrastructure

5C09AC3B-127F-4DED-AAA4-A239284FB406.jpeg
 
Hivi watabomoa huu uchafu wajenge upya ama?🤣🤣

Hiyo ni old CBD.. Dom Gov city inajengwa hapa 👇 KMs away from CBD . Majengo yanayojengwa hapo ni haya, majengo ya wizara 24 yenye gorofa kati ya sita hadi kumi na mbili, 👇 . Na juzi waziri mkuu alizundua ujenzi wa majengo hayo 👇. Na mkataba ni kumaliza ujenzi ifikapo 2023, I hope sote tutakua hai then nikunyooshee.. cheka tena
 
Na ndio mana nikasema kwamba 2023 tukimaliza mradi huo, naiona DOM like this 👇. Naongea na wewe bwana NairobiWalker .. vipi uko na la kujitetea.?
 
Umesoma mpaka darasa la ngapi.? Unachoongea hapa ndicho nilichomjibu mwenzako, boarding platform is not necessary kuwa ndefu kulingana na urefu wa treni, kwasababu hiyo ni sehemu ya kupandia treni tu na sio kwamba watu wanakaa hapo kupanga mstari mnyoofu, hata treni iwe ndefu kuzidi hiyo platform bado haithiri chochote .. ndio mana nikakuuliza umeshawahi kupanda treni au unajionea kwa picha na video tu.?
Muulize Emali station ina urefu wa kutosha mitungi yao ya chang'aa? Wakenya hawana akili mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom