mwathadan
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 3,446
- 4,951
pia mabasi yetu ya brt yatatumia stima na yenu yanatumia fossil fuels, kwaivo our brt itakua superior than yours??
pia mabasi yetu ya brt yatatumia stima na yenu yanatumia fossil fuels, kwaivo our brt itakua superior than yours??
pia mabasi yetu ya brt yatatumia stima na yenu yanatumia fossil fuels, kwaivo our brt itakua superior than yours??
Before going further you should have studied about the difference between these two termsHata usijisumbue. Nani hajui mlivyowabishi?
Weiterleitungshinweis
www.google.com


U nailed it.Let me breakdown for you Buda. Tunachoringanisha ni ubora na viwango, wakati SGR yetu itaanza kazi itakuwa ya umeme na treni za kisasa na huku yenu itakuwa ile mitungi ya chang’aa. Same applied to BRT, wakati yetu ni complete package system with dedicated lanes, yenu itaendelea kuwa ile ile ya kupaka ‘lipstick’ with narrow stations kama spagethi, so its just a matter of time tutakuwa na SGR ya kisasa na BRT System ambayo ni most effective huku nyie mkishika mkia kwenye hilo eneo. Umeleewa kijana wangu?
Pole kwa maumivuNiuchafu gani unapost apa kama evidence we mwehuuu wewe
Show me that BRT, why are you hesitating to do that?pia mabasi yetu ya brt yatatumia stima na yenu yanatumia fossil fuels, kwaivo our brt itakua superior than yours??








Wewe baki kuonesha hyo hyo project moja ya mchina usijiingize kwenye ugomvi ambao huuwezi





Na unajua kinachowauma ni nn? Hata hiyo nafasi ya Mo dewji tumeshaichukua, now Tz ndiyo inatajwa tajwa sana duniani kuliko KenyaNilichojifunza humu ndani kuhusu hii battle ni kwamba..
Kenya naona wapo ka Mo dewji yaani anafahamika la ndio Tajiri coz hata Forbes wanamtajataja,,, mixer na kupenda kijiweka mitandaoni kupata sifa....
Afu
Tanzania namwona ka bakhresa Huyu bwana hana matambo mengi wala hao Forbes hawamtaji taji ila ukiwa na akili utajua uwezo wake au hela zake kwa kuangalia vitu alivyowekeza na anavyoendelea kuwekeza.
Kifupi kwa mwenye akili atajua nani kati yao ni wamoto.







Kenya's sgr can be electrified in its current state. Sisi kujenga sgr ya diesel si eti kwa sababu hatuna huo uwezo ama kuona umuhimu wake. Ni kwa sababu uzalishaji wetu wa umeme bado upo chini kwa sasa ukilinganisha na demand. Tungejenga ya umeme could have spelled doom to our industrial and domestic power needs kwa sababu ingelemaza shuguli nyingi muhimu.Let me breakdown for you Buda. Tunachoringanisha ni ubora na viwango, wakati SGR yetu itaanza kazi itakuwa ya umeme na treni za kisasa na huku yenu itakuwa ile mitungi ya chang’aa. Same applied to BRT, wakati yetu ni complete package system with dedicated lanes, yenu itaendelea kuwa ile ile ya kupaka ‘lipstick’ with narrow stations kama spagethi, so its just a matter of time tutakuwa na SGR ya kisasa na BRT System ambayo ni most effective huku nyie mkishika mkia kwenye hilo eneo. Umeleewa kijana wangu?
🤣🤣🤣🤣 Umemdakapia mabasi yetu ya brt yatatumia stima na yenu yanatumia fossil fuels, kwaivo our brt itakua superior than yours??
😀oneni huyu kiazi, afadhali sisi tunaocompare sgr ya umeme vs yenu ya gari moshi kuliko nyie kucompare kibrt cha mchongo na ya kwetu. Naona mnacompare na kidaraja chenu cha dongokundu na madaraja yetu, ila hatusemi but likija swala la sgr unalalamika maana mnaiogopaThe same way unalinganisha sgr yenu which is still under construction na yetu ambayo inafanya kazi. Are you listening to yourself bongolala?
Wakuu amekubali kwamba umeme wao ni mdogo, twende nao taratibu wameanza kukubaliKenya's sgr can be electrified in its current state. Sisi kujenga sgr ya diesel si eti kwa sababu hatuna huo uwezo ama kuona umuhimu wake. Ni kwa sababu uzalishaji wetu wa umeme bado upo chini kwa sasa ukilinganisha na demand. Tungejenga ya umeme could have spelled doom to our industrial and domestic power needs kwa sababu ingelemaza shuguli nyingi muhimu.
Nyinyi mnajenga ya umeme kwa sababu mahitaji yenu ya umeme bad upo chini ikilinganishwa na yetu. Najua hili mtabisha sana ila huo ndo ukweli.
Kuhusu brt, ours was an afterthought so you can't expect it to be top-notch. Kwa sasa tunajenga a second line along the expressway so ngoja tuone matokeo yatakuaje.
All the same, hujawahi kuona brt systems za kupakwa rangi ama nyinyi ndio wale ambao hawajawahitoka nje ya mipaka ya Tandale?











Sasa ndo umekasirika sio😁😁
Until you see the trains, don't mention them. So far, our stations are better than yours, your trains are yet to come. Let's compare existing things.Let me breakdown for you Buda. Tunachoringanisha ni ubora na viwango, wakati SGR yetu itaanza kazi itakuwa ya umeme na treni za kisasa na huku yenu itakuwa ile mitungi ya chang’aa. Same applied to BRT, wakati yetu ni complete package system with dedicated lanes, yenu itaendelea kuwa ile ile ya kupaka ‘lipstick’ with narrow stations kama spagethi, so its just a matter of time tutakuwa na SGR ya kisasa na BRT System ambayo ni most effective huku nyie mkishika mkia kwenye hilo eneo. Umeleewa kijana wangu?