Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Driving in Arusha Tanzania 👇. Oya Don YF njoo ujionee Chuga ilivyonzuri kwa sasa .. kumbe tanzania uliokuja wew ni ya miaka mitano iliyopita ..tz umebadilika sana bro, kwasababu karibu kila kitu tumejenga kipindi hiki ambacho Magufuli ndio alikua raisi .. kuhusu standard of living watu Arusha Wana pesa bro ni vile tu hakuna content creator ambae anafanya mambo za kuonyesha uzur wa miji but leo ntakutaftia baadhi tu ya vid zimewekwa kuhusu makazi ya watu wanaojiweza dani ya ARUSHA 👇. . , na hapa hakuna maeneo kibao yenye wanaishi washua ndani ya Chuga.. halaf eti mnataja taja kuhusu makazi ya watu kisa eti apartments za wakazi wasiozidi 1000😂😂😂 ilihali namba kubwa ya watu wenu wanaishi kwenye nyumba za mabati kama wanyama.. 😂😂😂
 
The award for cleanest city in EA goes to NakuruView attachment 2031588
Really? This is Kisumu.

1638550111458.png

1638550601319.png

1638550655172.png

1638552066506.png

1638552437595.png

1638552756424.png
 
Kenya ni Nairobi na Nairobi ni Kenya alafu 70% ya Nairobi ni Slums hata wakunya wa humu wanajua, kuna ma slums mengine yamezinduliwa hivi karibuni, zen 10% ya Nairobi ndiyo vi apartments na vighorofa viwili vitatu, 20% ni pori na mbuga ya Nairobi national park. Maeneo mengine asikudanganye mtu ni vijumba vya mabati na udongo na vimaendeleo kdg maeneo ya mjini.

Shida ya Wakenya ni siasa, unakuta eneo ni pori lkn kuna ka overpass hususan maporini wanapotoka wakikuyu na Wakalenjin (wanasiasa), ss hako ka overpass katapigwa make up zen kanarushwa google kwamba kuna maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
NDINDA hakubaliani na wewe👇👇👇
3015436_Screenshot_20190731-110558.png
 
Kenya ni Nairobi na Nairobi ni Kenya alafu 70% ya Nairobi ni Slums hata wakunya wa humu wanajua, kuna ma slums mengine yamezinduliwa hivi karibuni, zen 10% ya Nairobi ndiyo vi apartments na vighorofa viwili vitatu, 20% ni pori na mbuga ya Nairobi national park. Maeneo mengine asikudanganye mtu ni vijumba vya mabati na udongo na vimaendeleo kdg maeneo ya mjini.

Shida ya Wakenya ni siasa, unakuta eneo ni pori lkn kuna ka overpass hususan maporini wanapotoka wakikuyu na Wakalenjin (wanasiasa), ss hako ka overpass katapigwa make up zen kanarushwa google kwamba kuna maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba levo anasema dar needs 25 more years to catch up with Nairobi. 👇👇🤣

Baba levo anasema dar needs 25 more years to catch up with Nairobi.

Hapa ndipo ilipothibtisha kwamba Wakenya hamna akili, yn comedian kama baba levo mna mtake serious? Kwn baba levo hajui kama Nairobi haina reliable public transport service? Hajui kama Nairobi imejaa ma slums everywhere? Hajui kama Nairobi ni chafu? Hajui kama Nairobi imejaa vibaka na machokoraa? Issue ni kwamba Watz wanawajua nyie ni wapenda sifa za kijinga hata mm nikija huko nitawasifia alafu nachukua mpunga naleta nyumbani, simple like that, na Wakenya niwaambie tu kwamba miaka miwili hii inayokuja hakutakuwa na battle hapa

Nimegonga ndipo, mfate baba levo a
Ukamlilie 🤣🤣🤣🤣🤣
images (6).jpeg
 
Hii ya Leo ya Baba levo hujaona sioView attachment 2031803

Kweli Tz imewateka sn Wakenya, ckuwa najua kama mnawajua mpk ma celebrity wadogo wadogo kama baba levo, cc huku celebrities wenu hatuwajui wallahi nakuapia mshkaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli Tz imewateka sn Wakenya, ckuwa najua kama mnawajua mpk ma celebrity wadogo wadogo kama baba levo, cc huku celebrities wenu hatuwajui wallahi nakuapia mshkaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
What influence do you have in lazy land mpaka umuite baba levo mtu mdogo, wee ni nobody. Niko sure ukimuona utaomba selfie 🤳🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom