Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwenye sector ya afya tumeanza kuweka urafiki na India, yani madokta wetu waliopata elimu bora wameanza kupigiana simu na wenzao wa India, ma Dr wa Kenya wabaki kupigiana simu na wenzao wa Uganda, Congo, Djibout, Somalia na Sudan [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakenya hebu wacheni aibu ndogo ndogo basiii, hii ni hospitali ya kufanya bone marrow transplant hii? Nairobi hospital [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20211201-224947.jpg
Screenshot_20211201-224909.jpg
Screenshot_20211201-224847.jpg
Screenshot_20211201-224829.jpg
Screenshot_20211201-224805.jpg
 
Jamaa wanashangaa tumewaachaje kwa miaka 6 tu, tumefanya mambo watakayofanya wajukuu zao, Wakenya hawatokuja kuwa na BRT system kwa miaka 20 ijayo, hawatakuwa na electrical SGR kwa miaka 100 ijayo na hawatafanya bone marrow transplant kwa miaka 200 ijayo.

Inauma sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakenya hebu wacheni aibu ndogo ndogo basiii, hii ni hospitali ya kufanya bone marrow transplant hii? Nairobi hospital [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2029797View attachment 2029798View attachment 2029799View attachment 2029800View attachment 2029801
hehehe😆😆😆. uwivu wenu twayajua.. eti sasa hii iwe The Nairobi Hospital.. yani nimecheka yangu yote😆... may be the first photo. lakini baki tu ukijua ni hapo ndipo JPM ulipumua pumzi yake ya mwisho
 
The Muhimbili Hospital👇🏽
images (48).jpeg

ubaya ma Daktari wa Tz walisomea Bachelor of Medicine (MBChB), kwa lugha ya kiswahili.. sasa hao ni madaktari kweli wakuu!!?🤔
 
Back
Top Bottom