The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Nchi ina hospitali kubwa yenye kutoa huduma zinazotolewa kwenye developed countries ndo ishindwe kujenga shule? Huyo Museveni analipa fadhila mana tulimsomesha cc na ndiyo maana unaona kawanyima miradi mikubwa mfano EACOP, mmebaki mnalia lia bila kujua watu tuna historia zetu.Museven donates a school to the most illiterate nation in EAView attachment 2028708View attachment 2028709









