Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wote tumepewa mkopo na IMF.. zenu zimeliwa na kuwaneemesha akina Uhunye na Raila.. sisi tumezitumia kujenga shule, kununua ambulance, kuchimba visima..
umejiona jinsi huna akili na ulivyo boya kuchekacheka ovyo!
giphy.gif
Unajuaje zenu hazijaliwa? Unadhani huwa zinaliwa 100%. Tofauti yetu, tunademand accountability from government.....Sio kama nyie mnaliwa mkiangalia.

Alafu Wacha kukwepa Mada. Mada ni huwa mnajigamba mnafanya project zenu wenyewe yet hadi kujenga Shule ya sekondari mnakopa.
 
wote tumepewa mkopo na IMF.. zenu zimeliwa na kuwaneemesha akina Uhunye na Raila.. sisi tumezitumia kujenga shule, kununua ambulance, kuchimba visima..
umejiona jinsi huna akili na ulivyo boya kuchekacheka ovyo!
giphy.gif
Sisi shule tunajenga wenyewe, vifaa vya ma hospitalini tunanunua wenyewe, masoko pia vile vile...
Sasa nashangaa na nyinyi, mpka shule basi hata km
 
Understanding a language is not being a slave. Failing to understand a crucial language used officially in your country is being a slave. But would a bongolala know.🚮🚮
Ukijua kiingereza utaelewa na kuinterpret maandishi yaliyoandikwa kwa kiingereza na kuacha kuwa kilaza kama ulivyo.
Kama wale wauguzi wenu waliofeli Uingereza.
 
Nimeamisha aje? Sijakana ulichosema. Nimeongezea tu ingekuwa bongo, mngeanguka wore.
Umehamisha magoli kutoka hoja yangu kwa wakenya Kufeli mtihani wa lugha Uingereza. Hakuna ushahidi wa watanzania kufeli mtihani huo.
Understanding a language is not being a slave. Failing to understand a crucial language used officially in your country is being a slave. But would a bongolala know.🚮🚮
Huoni kuwa maneno haya yanahusu wakenya zaidi kuliko sisi?
 
wote tumepewa mkopo na IMF.. zenu zimeliwa na kuwaneemesha akina Uhunye na Raila.. sisi tumezitumia kujenga shule, kununua ambulance, kuchimba visima..
umejiona jinsi huna akili na ulivyo boya kuchekacheka ovyo!
giphy.gif
Nilitaka nimjibu nikaona umeshamjibu.

Sasa akuambie ni nini wao wamefanyia pesa walizopewa. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hazijaliwa zote. Zimeliwa kidogo na ujumbe umeupata kisa tumeteta. Hapo kwenu zikiliwa zinazama tu - labda mwanahabari wa nje ayatoboe.[emoji1787][emoji1787]
Ss msione wivu tunapowaonesha mahali pesa zimeenda, hii ndiyo tofauti ya akili kubwa na ndogo.
 
Naona ishu ya bone marrow umeachana nayo[emoji1787][emoji1787]
Yani nyie mkifanya kitu basi mnajikuta duniani kote hakijawahi tokea, ona mnavyoumbuka kizembe sasa
🤣🤣🤣
Hawa majamaa vitu vingine wameanza kuviona juzi wanaona maajabu. Kama Ile ishu ya skyscrapers.
hii 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
EE689E49-F739-45B9-AFCF-18EEB38BE6C3.png
 
Back
Top Bottom