Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza nataka ulete usthibisho wa claims zako kuhusu hiyo miradi sio mdomo tu, pili kama ni mipango ya dualing na sisi tz tunafanya pia and any time soon tegemea kuona implementation za hizo miradi.. Dom-Moro, Dom-Singida, DSM-Pwani DSM-Moro ..
Mnapenda hili neno uthibitisho sana wakati nyinyi wenye hamthibitishi chochote. Anyway,: -

Dualing of Nairobi Isiolo Highway (The Highway is already 60km dualed up to Kenol. They are continuing from there: -

1.jpg

Nairobi - Malaba dualing. Phase 1 ongoing

1.jpg

1.jpg
 
Nataka battle ya miradi ya maji.. kuhusu suala la maji kukosekana/kuwa na mgao Dar kwasasa haitokani na kukosekana kwa maji ni siasa tu za kiafrika, kwasababu tuliishi miaka yote mitano aliyoongoza mzalendo wa kweli (mwendazake) na hakukua na changamoto hiyo.. kwahiyo shortage of water DSM ni siasa tu .. wala suala hilo lisikupe moyo eti labda tz hatuko na better suply of clean water.. kwenye maji tuko powa sana

Ukitaka miradi nitakupea na bado kuna ile iliyoko in place already.
 
Mnapenda hili neno uthibitisho sana wakati nyinyi wenye hamthibitishi chochote. Anyway,: -

Dualing of Nairobi Isiolo Highway (The Highway is already 60km dualed up to Kenol. They are continuing from there: -

View attachment 2028528

Nairobi - Malaba dualing. Phase 1 ongoing

View attachment 2028525

View attachment 2028523

Lazima nikuombe uthibitisho bro, bado ndio mnaanza kufanya dualing, mradi wenyewe ni mmoja na ni U/C .. subir sisi kakazenu tuwaonyeshe vile inafaa kufanywa .. by the way ni mradi mzuri
 
Lazima nikuombe uthibitisho bro, bado ndio mnaanza kufanya dualing, mradi wenyewe ni mmoja na ni U/C .. subir sisi kakazenu tuwaonyeshe vile inafaa kufanywa .. by the way ni mradi mzuri
Nimekuonyesha miradi niliyotaja - sijaongeza sijapunguza. ni miradi miwili, sio mmoja. Nini kingine unataka? Hivi Bongo kuna highway iliyo dualed continously inayounganisha miji miwili iliyo zaidi ya 200km apart? Kama hamna sasa nani afunze mwengine?
 
Back
Top Bottom