Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wakenya mpo wapi? Kama nawaona jinsi mnavyosakura backfire [emoji23][emoji23][emoji23] kwenye hili wala msijisumbue sababu hamna huo uchumi wa kusomesha first world's universities [emoji108]
kabisa
 
Barabara ya kuelekea Ngorongoro National park...mkeka
b09d063ee204c72506143e00a627de2a--tanzania-the-road.jpg
 
Kuanzia leo ni marufuku wakenya kusema wanafunzi wa Tanzania wanategemea vyuo vyenu kupata elimu bora, kuanzia leo ni marufuku wakenya kusema mna wanafunzi wengi abroad kuliko Tanzania

Tanzania inaongoza Africa kwa kuwa na wanafunzi wengi kwenye international universities worldwide

Therefore ni marufuku Kenya kujilinganisha na Tanzania kiuchumi and social standards of life
ujumbe umefika huo
 
Hahahaha, weka ushahidi Kama Kuna nchi yoyote hapa East and Central Africa iliyowahi kufanya bone marrow transplant. Tanzania runs this region in many aspect [emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa nacheka sana nikiona Wakenya wanajilinganisha na Tz kwenye huduma za afya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hamtukaribii kwa barabara na hio ndio ukweli, kenya we factor in alot of climbing lanes, hio barabara ya dar-morogoro-iringa shida tu, especially since imejaza trucks to zambia
For the sake of battle huwezi kubali najua.
 
Show me proof you're harvesting water from Lake Victoria to those reasons. Acha kupayuka.
Acha kujifanya unaijua Tanzania we fala, ni tabia yetu ya kutosema kila kitu kinachoendelea, tukiamua kusema kila kitu ndio mtajua tumewapiga parefu.. owky hii ni vid ya 2 years ago, mradi wa zaidi ya 600 billions kutoka lake Victoria kwenda Tabora 👇
 
Back
Top Bottom