9trillion debt😂😂😂🤣🤣 ulalalalalala na bado mchina anaweka jiwe juu ya maweSi nilidhani debt to GDP ratio ya Kenya ni 90% according to ichoboy01 ,Geza Ulole and joto la jiwe ? Ni aje tena unatuchanganya na ya 69%?
Wakenya wanaokwenda Dubai wengi ni wale wa kazi majumbani.Kwa wanao visit Dubai na SA, Tanzania imeshikania na South Sudan. Hamna pesa.
More Kenyans visit SA than Tanzanians, despite you having Visa free access.
Dubai ata tusiongee. There are 10 Kenyans visiting Dubai for every one Tanzanian.
Hiyo 9tr imetoka kwa nyayako ama?9trillion debt😂😂😂🤣🤣 ulalalalalala na bado mchina anaweka jiwe juu ya mawe
Nimeongezea tu. Sijahamisha.Umehamisha magoli kutoka hoja yangu kwa wakenya Kufeli mtihani wa lugha Uingereza. Hakuna ushahidi wa watanzania kufeli mtihani huo.
Based on the context of the argument, your Tanzanian friend failed to comprehend an English statement and tried to justify it on the premise that it is a colonial language and he doesn't have to be good in it.Huoni kuwa maneno haya yanahusu wakenya zaidi kuliko sisi?
Jamaa cjui kwnn huwa ni waongo, cjui wanafaidika na nini, wanaona wakishaweka article wengi watakuwa hawasomi na ndiyo maana wala ckujisumbua kusoma mana iko wazi kwa East and Central Africa ni cc pekee tunaofanya bone marrow transplant hata tweet imesema hivyo, yn watu waweke tweet world wide alafu waongope?
nakwambia akipata link kenya imefanya hvo mm nafunga acc jamii forum 😂😂😂😂Jamaa cjui kwnn huwa ni waongo, cjui wanafaidika na nini, wanaona wakishaweka article wengi watakuwa hawasomi na ndiyo maana wala ckujisumbua kusoma mana iko wazi kwa East and Central Africa ni cc pekee tunaofanya bone marrow transplant hata tweet imesema hivyo, yn watu waweke tweet world wide alafu waongope?
Wakenya kwa ss tumewaacha mbali mno katika sector ya afya, mtazoea taratibu na mmeshaanza kuja kufanyiwa matibabu hapa Tz, na co nyie tu nchi nyingi zimeanza kuja Tanzania kwa matibabu.
Usijifanye huoni, mjibu ichoboy01 kwenye bone marrow transplant issue alafu tuambie ulidanganya kwa faida gn.Nimeongezea tu. Sijahamisha.
Based on the context of the argument, your Tanzanian friend failed to comprehend an English statement and tried to justify it on the premise that it is a colonial language and he doesn't have to be good in it.
Sasa kuanzia leo mjadala wa sekta ya afya tumeufunga rasmi.nakwambia akipata link kenya imefanya hvo mm nafunga acc jamii forum
kaleta link yenyewe ndio hiii sasa
Bone Marrow Transplant Cost in Kenya | BMT in Kenya
Get a FREE Quote & Expert Advice from top Bone Marrow Transplant hospitals in Kenya. Lyfboat connects you directly with Top Bone Marrow Transplant Specialists for quality care at Affordable prices. Get a FREE Second Opinion!www.lyfboat.com
fungueni hii link sasa muone yaliyomo ndani![]()
mkenya anaeza kufa na njaa akajisifu ameshiba trust me hawa watu wanamaisha ya ajabu kuliko mnyama yoyote duniani 😂😂😂😂😂 yuko tayar amfurahishe mzungu aonekane kaendelea kumbe analala slum kwneye maisha hata nguruwe hawezi ishiJamaa cjui kwnn huwa ni waongo, cjui wanafaidika na nini, wanaona wakishaweka article wengi watakuwa hawasomi na ndiyo maana wala ckujisumbua kusoma mana iko wazi kwa East and Central Africa ni cc pekee tunaofanya bone marrow transplant hata tweet imesema hivyo, yn watu waweke tweet world wide alafu waongope?
Wakenya kwa ss tumewaacha mbali mno katika sector ya afya, mtazoea taratibu na mmeshaanza kuja kufanyiwa matibabu hapa Tz, na co nyie tu nchi nyingi zimeanza kuja Tanzania kwa matibabu.
Watanzania kujeni muone huyu kima, watu tunaweka pesa kuwekeza wao wanaiba alafu bado wanataka kushindanaAga Khan Hospital.
Bone Marrow Transplant Cost in Kenya | BMT in Kenya
Get a FREE Quote & Expert Advice from top Bone Marrow Transplant hospitals in Kenya. Lyfboat connects you directly with Top Bone Marrow Transplant Specialists for quality care at Affordable prices. Get a FREE Second Opinion!www.lyfboat.com














































Ona hii kengeNairobiWalker wamekimbia na ishu yao ya bone marrow
Wamesahau km huku kwetu kuna mpka booking online ndio ukakute na hao mabingwa wa kupandikiza kabisa







































subutu yake mwambie ajaribu kunijibuananiogopa kama ukoma ananijua vzr sana








fungua sasa hio link uone kilichomo ndani 😂😂😂😂😂😂Watanzania kujeni muone huyu kima, watu tunaweka pesa kuwekeza wao wanaiba alafu bado wanataka kushindana![]()

















huyo nae si ni wale wale sawa na bata mnyonge mmoja haimo mbili iko akhera🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ona hii kenge![]()
hii kitu imewauma sana amini hvi nakwambia watahangaika kutafuta mpaka link za kutemgeneza mark my wordsWatu kujeni, tayari tumesha confirm kwamba Tz ni baba lao kwenye afya![]()