Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Unaona empty kama kichwa chako. Empty head.
Unaona empty kama kichwa chako. Empty head.
Barabara iko under construction we mdanganyika.Kwani nini shida kati ya kunya land na roads marking![]()
Hiki ni kituko kingine kutaka kushindana na Tz kwenye availability of clean and safe water.Wanatiambia hawakosangi Maji. Ati tudesalinate kama hatuna Mito. Wao wana mito na maziwa lakini bado wanakosa.
![]()
Tanzania’s Dar-es-Salaam hit by water shortages as rivers dry up
Climate change is only part of the reason behind the water shortage in Tanzania’s largest city.www.aljazeera.com
Tunashindana na walio mbele yetu, sio walio nyuma yetu kama nyinyi.Hiki ni kituko kingine kutaka kushindana na Tz kwenye availability of clean and safe water.
You think? His road is normally used by alot of trucks to Uganda, Rwanda etc, follow it uone kama kuna patching of the road , and see the climbing lanes on it.By the way we have moved to virtual weighbridges in kenya we dont deal with hizo jam kama za Mikese nowadaysFor the sake of battle huwezi kubali najua.
Mimi usinilaumu, it`s your minister ndio alisema there are only 2.7m customers connected to electricity in Tanzania. Again go and learn about electrification ndio urudi.wanaposema rural areas imefika 84% ww unakua unaelewa vp hebu tuanzie hapa 🤣🤣 au ulipoona kwenye barabara umekamatwa ukaamua kubadilisha gear na huku ulipobadilisha gear pia ni pamoto kweli kweli 😁😁
Kwamba mnataka kusema nini yani kuhusu availability of clean water.?Tunashindana na walio mbele yetu, sio walio nyuma yetu kama nyinyi.
Those are actually right cause in that article it is clearly stated that Tanzania only has 2.7m customers connected to electricity.Teargas tuseme hawa esi africa ni waongo 🤣🤣🤣🤣🤣
![]()
Tanzania records highest percentage in access to electricity
Energy Minister Dr Medard Kalemani has announced that Tanzania has recorded its highest percentage in access to electricity so far with 84.6% in 2020.www.esi-africa.com
You think? His road is normally used by alot of trucks to Uganda, Rwanda etc, follow it uone kama kuna patching of the road , and see the climbing lanes on it.By the way we have moved to virtual weighbridges in kenya we dont deal with hizo jam kama za Mikese nowadays
View attachment 2028472
Do I need to remind you that Tanzania only has 13,000km of paved roads against Kenya`s 22,600km?Hakuna Safar yoyote ya kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine hapa tz ambapo hakuna barabara ya lami,na usichokijua tz ni kubwa geographically mara moja na nusu kwa kenya, kwahyo ni moja kwa moja tz iko na km nyingi za lami kuliko KE .. mkitaja suala la barabara mnaniacha hoi sana 😂😂😂
Despite Kenya being arid, there's very good supply of clean water in Kenya. We have more dams and generally a better supply.Kwamba mnataka kusema nini yani kuhusu availability of clean water.?
Twende Leo na battle ya maji Kati ya tz na kenya Alaf tuone nani mkali wao hapa EADespite Kenya being arid, there's very good supply of clean water in Kenya. We have more dams and generally a better supply.
😂😂😂you guys have only 9k roads km ..leta hiyo article yenye inasema mko na 23k kmDo I need to remind you that Tanzania only has 13,000km of paved roads against Kenya`s 22,600km?
Achana na main roads. Hizo tumekua nazo tangu enzi zile Sahii tunazifanyia dualing. Currently we are dualing Nairobi - Isiolo and Nairobi - Naivasha - Nakuru - Mau Summit - Eldoret - Malaba the Nairobi - Mombasa will follow until all class A roads are dualed. Tuongelee zile za Kuingia ndani ndani. Ni nchi ipi iliyo better connected.Hakuna Safar yoyote ya kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine hapa tz ambapo hakuna barabara ya lami,na usichokijua tz ni kubwa geographically mara moja na nusu kwa kenya, kwahyo ni moja kwa moja tz iko na km nyingi za lami kuliko KE .. mkitaja suala la barabara mnaniacha hoi sana 😂😂😂
Twende Leo na battle ya maji Kati ya tz na kenya Alaf tuone nani mkali wao hapa EA
Kwanza nataka ulete usthibisho wa claims zako kuhusu hiyo miradi sio mdomo tu, pili kama ni mipango ya dualing na sisi tz tunafanya pia and any time soon tegemea kuona implementation za hizo miradi.. Dom-Moro, Dom-Singida, DSM-Pwani DSM-Moro ..Achana na main roads. Hizo tumekua nazo tangu enzi zile Sahii tunazifanyia dualing. Currently we are dualing Nairobi - Isiolo and Nairobi - Naivasha - Nakuru - Mau Summit - Eldoret - Malaba the Nairobi - Mombasa will follow until all class A roads are dualed. Tuongelee zile za Kuingia ndani ndani. Ni nchi ipi iliyo better connected.
Huwa mnahangaika sana. Sijui mara Kenya only has 9k, mara iko 11k na wengine wansema ni 16k. So tuamini gani na tuache gani?😂😂😂you guys have only 9k roads km ..leta hiyo article yenye inasema mko na 23k km
Nataka battle ya miradi ya maji.. kuhusu suala la maji kukosekana/kuwa na mgao Dar kwasasa haitokani na kukosekana kwa maji ni siasa tu za kiafrika, kwasababu tuliishi miaka yote mitano aliyoongoza mzalendo wa kweli (mwendazake) na hakukua na changamoto hiyo.. kwahiyo shortage of water DSM ni siasa tu .. wala suala hilo lisikupe moyo eti labda tz hatuko na better suply of clean water.. kwenye maji tuko powa sanaUnataka battle ya Nini? Nimekueleza Kenya sahii miji yote Ina Maji, vijiji vingi vina Maji. Uko Na data ya juprove Tanzania Ina better supply? Maanake naona hapo Dar Hadi hoteli za kifahari zinakosa Maji.