Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aiseee, yani eneo lote hilo liko empty [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
JamiiForums1967495123.jpg
 
You won't understand because yours is a bogus state. In Kenya, they're found in every county.

Here's another one in Nairobi. It's called a children's traffic park where children come with their toy cars and bikes to play and learn traffic rules.

View attachment 2028041
Sasa hii ndiyo nn c upuuzi huu jameni, hapa zinapita baiskeli au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hadi Sasa maji toka Ziwa Victoria yanalaribia Singida 500km kutoka lake Victoria. Kwa vyovyote iwavyo, kusafirisha maji toka lake Victoria is the cheapest means" kwa Kenya kwa sasa.
Hio ya kuteka maji kutoka ziwa Victoria naona ndio the only option. Lakini Kaskazini na Kaskazini Mashariki yote ya Kenya ina ukame. Kwa hivyo bomba litakalojengwa lazima liwe kubwa ajabu ili liweze kusambaza maji katika majimbo haya yote ambayo hayana mito. Turkana, Marsabit, Isiolo, Mandela, Moyale na Garissa. Hizi ni majimbo sita na Turkana na Marsabit ni majimbo mawili kubwa zaidi Kenya. Turkana ipo Karibu na L. Victoria ila kunahitajika bomba lifike Mandela huko karibu na Somalia. Yaani bomba litoke karibu na Uganda liende hadi karibu na somalia kusambaza maji? Mradi huu unawezekana ila ni mradi mkubwa ajabu.
Cc coodip1
 
Back
Top Bottom