Wapi vumbi hapo?
🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇Revenue generated from the standard gauge railway (SGR) rose 25 percent in the seven months to July, driven by increased imports. Latest data from the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) shows that revenues rose to Sh9. 08 billion from Sh7. 2 billion in similar period last year.21 Sept 2021
Punguza presha mnenguaji![]()
Hasira za revenue hzi
![]()
Kenya: SGR Fails to Break Even for the Fourth Year Running
The Standard Gauge Railway (SGR) failed to break even for the fourth year running as operational costs remained high amid dwindling revenue, raising questions over the feasibility of the project that cost taxpayers billions of shillings.allafrica.com


kwan loss maana yake nini???🤣🤣🤣🤣 au ww unaona hawa wajinga ???Hasira za revenue hzi![]()
Hehehe!!mbona unateseka mzeekwan loss maana yake nini???au ww unaona hawa wajinga ???




Uko sure hapa mnawezana na wakenya, fungua thread uoneKuanzia leo ni marufuku wakenya kusema wanafunzi wa Tanzania wanategemea vyuo vyenu kupata elimu bora, kuanzia leo ni marufuku wakenya kusema mna wanafunzi wengi abroad kuliko Tanzania
Tanzania inaongoza Africa kwa kuwa na wanafunzi wengi kwenye international universities worldwide
Therefore ni marufuku Kenya kujilinganisha na Tanzania kiuchumi and social standards of life
Duh simchezo aisee.Hii ni miradi ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege inayotekelezwa maeneo mbalimbali nchini Tz,miradi hii asilimia 99% ni ile iliosainiwa chini ya uongozi wa mh JPM katika awamu yake ya tano...numbers dont lie mazee...
Unaweza hesabu kms na kiasi kikubwa cha fedha kinachotumika hapo...pia status ya miradi mingi inakaribia kukamilika...
Chanzo cha taarifa hii ni website ya tanroad View attachment 2027171View attachment 2027172View attachment 2027173View attachment 2027175View attachment 2027176View attachment 2027177
Hapo roughly nimepata km 2,296.75 na kuna zingine kibao length haijawekwa ila ziko u/c, pia kuna zingine hazijawekwa kabisa, kwakweli huyu mzee kazi kaifanya.Hii ni miradi ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege inayotekelezwa maeneo mbalimbali nchini Tz,miradi hii asilimia 99% ni ile iliosainiwa chini ya uongozi wa mh JPM katika awamu yake ya tano...numbers dont lie mazee...
Unaweza hesabu kms na kiasi kikubwa cha fedha kinachotumika hapo...pia status ya miradi mingi inakaribia kukamilika...
Chanzo cha taarifa hii ni website ya tanroad View attachment 2027171View attachment 2027172View attachment 2027173View attachment 2027175View attachment 2027176View attachment 2027177
Azam ana jambo lake kwa taifa hili.dah asante sana Azam. Napenda sana Azam anavyojitolea kuiibua mashindano mbalimbali. Bila Azam mashindano mengi tungekuwa bado tunalala
Azam huyuhuyu kaibua Boxing, Cars Racing, Football (kaipandisha sana thaman) etc
Then it is high time for Kenyan Government to start ramping up efforts for construction of desalination plants if that is a feasible alternative to perennial catastrophes.Lake Turkana ina maji ya chumvi. Maji hii haiwezi kutumika katika upishi au kunywa maji kwa binadamu wala mifugo. Eneo nzima ya Northern na North East Kenya haina ziwa hata moja yenye fresh water. Hakuna hata moja.
Cc ichoboy01
joto la jiwe
Ni vigumu Kwa mwenyeji wa Mwanza kama wewe kusikia watu wengine wakitaja kuwa mji wako hauko vizuri kwenye nyanja kadha wa kadha. Weka bias yako pembeni na tazama uozo uliopo Mwanza. And it’s not about petty competitions because Mwanza still loses to Mombasa in many fields. It’s about doing what’s right: criticizing the authorities responsible for urban planning in Tanzania. Kama unaona kuwa Mwanza imepangwa then inabidi utoke nje uone miji mingine. Mnakaa kwenye bubble yenu mkiamini kuwa you’re the best kumbe Hamna lolote!sisi hatutaki porojo tunataka utuoneshe 70% ya makazi mwanza ni unplanned settlement na ukithibitisha mm nafunga acc jamii forum mark my words😂😂😂😂
tatizo lako ww unajifanya kila kitu unakijua na mbaya zaidi nakwambia tena mwanza ni miongoni mwa cities in tanzania ambazo ziko well planned hata ukikasirika haitasaidia
na ukiachilia hayo pamoja na mwanza kuzungukwa na milima still mombasa haitaifikia mwanza kwenye suburb hio nakuandikia 😁😁😁😁😁
Wala hujakosea 😅😅😅 angalia hii video ucheke kidogoWatanzania wengi ndio hawaijui Kenya mmoja wao ni mm apa ckuwa naijua kenya kabisa kabla ya kuingia humu. Hata nchi zingine mfano Zambia zinaijua tu Tz na co Kenya, huo ndio ukweli kama unachukia wewe chukia ila ukweli nimekwambia![]()