Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unataka kusema nini ss, kwamba Mombasa ipo juu ya Nairobi au? Mana ushuzi wa Mombasa kila mtu anaujua humu kwamba ni unplanned settlement, na ushuzi wa Nairobi kila mtu anaujua humu kwamba ni unplanned settlement plus slums, so kwa kigezo hicho kama unamaanisha bora Mombasa sawa
 
Mombasa ikisongeshwa kidogo tu iingie jamhuri ya muungano 😂 inakua mji mkuu
 
Huwa hamupendi kuona watanzania wenzenu kama huyu wakisema ukweli
ishu siyo kusema ukweli,ishu ni namna gani unauheshimu huo ukweli,

watz wa humu huwa hatuutaki unafki ndiyo maana mara nyingi huwa tunapishana wenyewe kwa wenyewe tofauti na nyie wakenya siku zote huwa mnaogopana na kuogopa kuchambua shida zenu kwa reality,

ndiyo maana mpo hapa kama mazombi hamkosoani wala kupeana ukweli zaidi huwa mnaishia kujazana kichwa
 
Ukiwaambia wana ghorofa za udongo wanaruka kama wamasai
old town kuna nyumba za udongo na gorofa za udongo mpaka kiyama na ndio ushuzi uliojaa mombasa 😂😂😂😂 mji hauna bus stage, mji hauna maji, mji hauna soko within town, mji mchafu balaa, mji haina public transportation inayoeleweka
Ghorofa za udongo Mombasa 😂 😂 😂
2995128_1636548117843~2.jpg
images (41).jpeg
images (36).jpeg
2995100_1636546455230~2.jpg
2995150_1636548635685~2.jpg
images (32).jpeg
images (33).jpeg
2995212_1636549958807~2.jpg
images(59).jpg
images(60).jpg
images(64).jpg
images(70).jpg
images(66).jpg
images(68).jpg
images(67).jpg
images(63).jpg
images(61).jpg
images(71).jpg

images (42).jpeg
 
Omba omba wapo dunia nzima mpk US ila Kenya ndiyo the leading country cz yenyewe kama Nation ni ombaomba, unabisha nikupe fac?
Nchi inaexport ombaomba ni Tanganyika. That should tell you how many they are there
 
ishu siyo kusema ukweli,ishu ni namna gani unauheshimu huo ukweli,

watz wa humu huwa hatuutaki unafki ndiyo maana mara nyingi huwa tunapishana wenyewe kwa wenyewe tofauti na nyie wakenya siku zote huwa mnaogopana na kuogopa kuchambua shida zenu kwa reality,

ndiyo maana mpo hapa kama mazombi hamkosoani wala kupeana ukweli zaidi huwa mnaishia kujazana kichwa
Ukiangalia vizuri utapata kwamba chanzo cha nyinyi kugongana wenyewe kwa wenyewe ni kwa sababu hampendi kuona mtu akisema ukweli kuhusu nchi yenu, awe ni mtanzania mwenzenu au mkenya.

Hili sio tatizo sana kwetu kwa sababu mambo yetu huwa tunayaweka wazi wala hakuna cha kuficha kitu. Mtanzania ni mtu atakulazimisha mawazo yake yawe ya ukweli hata kama Hakuna chembe cha ukweli kwa analosema ilimradi tu aonekane amekushinda kwa hoja.

Ukijaribu kumkosoa hapo ndio mnakosana. Sisi wakenya hatuna hii tabia na si eti najisifu. Mapungufu yeti tunayakubali, something that most Tanzania don't do in this forum
 
😂😂😂😂 video ya 20min jamani haioneshi chochote nimecheka mpaka basi

na hii ni downtown sasa uliokua unaisemea ww🤣🤣👇👇👇 12min

alaf ww ndio unaijua mwanza kuliko mm nilipozaliwa nimeishi nimekulia huko na kila mara niko huko serious??🤣

Huu Ndio mji unasema kuwa umepangiliwa? Na hii Ndio CBD 😂

We need more psychiatrists.

DA9C184D-50B5-4E9C-9B3D-FDD055783341.jpeg
0405DB04-0628-4BA8-BBE8-04AB9435E0D6.jpeg
124BB5EE-7471-4E53-8C09-2BF937AC0692.jpeg
51FDD24C-8C84-40E5-8DDA-6D770F15E5CB.jpeg
366A18D5-5D60-4151-A659-A6F9C3E6C5E1.jpeg
AC24A04C-3277-4040-8A66-AFBFF7BFC602.jpeg
028A554E-024D-4618-948B-D76D059C369A.jpeg
CC833A74-ED24-41D9-B5C2-919B286FF9F3.jpeg
 
Back
Top Bottom