Mzee
Coco reborn na bwana
Nicxie tukiachana na Dom hii

old Dom CBD
View attachment 2024394kuna Dodoma hii

new CBD underway
View attachment 2024397View attachment 2024398View attachment 2024400kuna huu mradi wa makazi ya watu 1k houses
View attachment 2024406View attachment 2024408
View attachment 2024410halafu kuna huu mradi wa watumishi housing mradi wa nyumba 120, na kama unavyojua individual development level ya Dom sio ya kupima mzee.

. lafu kuna upcoming Dom administrative city au wenyewe tunaita Magufuli City
. Hayo majengo yote yanayoonekana kwenye renda hapo juu yapo under construction ..
1. Msalato international airport
2. DOM international football stadium
3. Dom indoor Arena
4. Dom international SGR terminus
5. State House
6. DOM outer ring road 112 km
7. Miradi mengine ya barabara ndani ya Dom kibao
Vyote hivyo vipi under construction .. sijui mtaleta mji gani kushindana na Dom ifikapo 2024 ni bakora tu ..