Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha, Mimi nikivuka tu mpaka kuingia Kenya ninahisi Kama nimeingia South Sudan au Eastern DRC, very unsafe and dangerous country.
Acha kujiliwaza. Dangerous country na CCM wanafurahi atcl kuja kenya nikama wamefika marekani tuu.
 
At least you are the one among Tanzanians who's eager and ready to please these Kenyans!!!!you can tell even from their response!!!Hatuko hapa kwa ajili ya kujiabisha!!!Tuko hapa kwa ajili ya kufungua macho na akili za Wakunya thinking that they are way far better from other countries in East Africa!!! While it's not true!!! That's why we sell the good side of us and also the got equal chances to do the same!!! Lesson learnt!!!Kile kiburi chao na ego,dharau za kishamba juu ya Tanzania soon kitakwisha kbs!!! Tanzania na Kenya bado tunasafari ndefu!!!Huwa nawashangaa watu wanaomkubali Lukuvi!!! Wengine wanaona anafaa hata kuwa Rais aisee!!! Sijui utawashauri nini kipya hawa wahusika the have everything in papers beyond your thoughts Mr 255!!!!!! Trust me!!!Ni utekelezaji tu!!!Ni kama ilivyokuwa master plan ya Dodoma ikaenda kutekelezwa Nigeria huko!!!
At least umempa kiini cha battle...toka niwe humu ndani sikuwai kuina mkunya akiponda kunya , pengine Tony254 tena kidgo mnooo
..so hapa lengo nikuwatoa ujinga hawa pimbi
 
Wewe umenionesha kipande cha ujenzi, hicho kipande hakina mkandarasi? Mkandarasi anaitwa nani na mkataba wa hizo kilometers uko wapi ceremony yake? Leta ground breaking ceremony ya hizo kilometers hapa
Unataka nikuletee ground breaking ceremony wakati picha zimetumwa haha za ujenzi? Unatumia akili kweli? This is the same way you guys were asking for the Expressway billboard one year ago an mkaumbuliwa. Stupid bongolalas!
 
Hiyo ndege imebeba abiria wa kikenya waliogoma kupanda ndege mbovu na chakavu za KQ
Imebeba abiria wa kenya sababu ndio wanaweza afford kulipa nauli. Watanzania hawana pesa ya kusafiri mashambani krismasi watapandaje ndege?
KQ flights dar-nairobi bado zmejaa kama kawaida.
 
Dangerous country wakati omba wao wamevamia mitaa zetu kama nzige
Jamaa anacheka wakenya wakiishi 5 star hotels Tanzania wakitalii wakati watanzania wakiwa kenya ni ombaomba na watu wa mkono wanaishi slums nowonder wanazijua zote.
JamiiForums17971949.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ushapanic tayar ww na mzungu nani mwenye akili

ww una akili ya kuvukia barabara tu

langata hio na ndani yake kuna ongata rongai sasa unakasirika nn😂😂😂😂
View attachment 2024005
Bongolala, Ongata Rongai is in Kajiado county, Lang'ata is in Nairobi county. These are two different places. Sasa wewe mkazi wa Tandale unajua kuhusu Nairobi kunushinda mimi mkazi wa Nairobi?
 
Imebeba abiria wa kenya sababu ndio wanaweza afford kulipa nauli. Watanzania hawana pesa ya kusafiri mashambani krismasi watapandaje ndege?
KQ flights dar-nairobi bado zmejaa kama kawaida.
Kenya ilikua njia tu hata wamalawi wameshukuru kua na direct flight to Tanzania walikua wanapitia Kenya kuja na nyinyi mlikua mnawahesabu kama watalii. Now mtajibeba
 
Jamaa anacheka wakenya wakiishi 5 star hotels Tanzania wakitalii wakati watanzania wakiwa kenya ni ombaomba na watu wa mkono wanaishi slums nowonder wanazijua zote. View attachment 2024067
I know of so many who work as househelps and shamba boys in our hometown. Most of them come from Mara region. Kwanza wasukuma wanapenda sana hizi kazi za shamba boys
 
I know of so many who work as househelps and shamba boys in our hometown. Most of them come from Mara region. Kwanza wasukuma wanapenda sana hizi kazi za shamba boys
CCM itawaacha kwa mashida kama KANU ilivyotufanya.
 
Kenya ilikua njia tu hata wamalawi wameshukuru kua na direct flight to Tanzania walikua wanapitia Kenya kuja na nyinyi mlikua mnawahesabu kama watalii. Now mtajibeba
Watanzania hawana pesa ya kulipa nauli ndio maana atcl imejaza abiria wakenya. Hakuna airline inajali mambo ya uraiya haja ni ununue ticketi na uwe na vyeti unapaa nawao. Wakenya wana hela bana wacha.
 
Tukiacha ushabiki, kugeuza slums kuwa formal settlement ni rahisi kuliko kurekebisha unplanned settlement kuwa planned settlement. Gharama ya kuipanga Dar es Salaam kisasa ni kubwa kuliko kuibadirisha Kibera kuwa satelite city so tusiwacheke sana majirani zetu……”Huu ndio ukweri……” kwa sauti ya JPM.
Si rahisi kama unavyodhani angalia concentration ya watu katika eneo moja ni lazima uwahamishe na kuwajengea ama kuwafidia watu hao pahala pengine!!Na resistance iko hivyo hivyo kutokana na wingi wa watu bora Bongo Wakenya hawana uvumilivu hata kidogo!!!Lile ni bomu na Serikali zote zinapakwepa kweli kweli!!achana hizo slums bado kuna maeneo mengine Nairobi kuna makazi duni tu!!!acha kusifia vitu vya kijinga!!!
 
Back
Top Bottom