Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JPM alikua kiongozi bwakni na fala sana ju ya kukataza wanafunzi wajawazito kuendelea na shule.
Screenshot_20211125-071100.jpg
 
Huyo jamaa amejifunza meaning ya abnormal juzi nini? Mwambie aelewe context kwanza aache kuropoka neno abnormal kama ametoka usingizini Kibera.
Wewe ndio kiingereza chako kibovu. Every bridge is supposed to be normal. Sasa mtu akipost bridge na ucomment it's normal ni upuzi gani Huo? Yani direct translation from Kiswahili alafu unajiona gwiji wa lugha kisa umejifunza neno normal. 🚮
 
Msanifu wa jengo la Nairobi amekopi world trade centre

View attachment 2022645
Majengo marefu yote ya Nairobi ni copy and paste, hakuna jengo hata moja walilolisanifu kwa akili zao, cha kushangaza ss hayo majengo wame copy and paste lkn most of them ni ugly cz hayako km yale waliyoiga. Wakenya hawana akili.
 
Majengo marefu yote ya Nairobi ni copy and paste, hakuna jengo hata moja walilolisanifu kwa akili zao, cha kushangaza ss hayo majengo wame copy and paste lkn most of them ni ugly cz hayako km yale waliyoiga. Wakenya hawana akili.
Marefu yote Dar yamebuniwa na Wakenya.
 
Maskini Kenya wanazidi kupoteana ,Tzn shilling inagain strength dhidi ya dollar wakati Kshilling inaanguka ..

Mtaelewa shoo mwaka huu 👇

Screenshot_20211125-083319.png


Screenshot_20211125-083328.png
 
Duuuhhh aiseee ma slums mengine haya mapyaa kabisa

Tunacheka lkn haipaswi kucheka kabisa wallahi, huu ni unyama.
Ndiyo maana mimi nikipitia Facebook au Instagram na kukutana na msichana wa kenya kitu cha kwanza kumtambua kuwa kweli ni mkenya ni kutokucheka wasichana wakenya muda wote wamenuna nahisi ni kwasababu ya maisha wanayopitia kiuhalisi
Msichana wakenya ukikuta kapiga picha anatabasamu au kucheka basi ujue kalazimishwa au yupo anaigiza kitu fulani
 
Dar es salaam hata kuweka mzigo juu ya gari bila vigezo unakamatwa itakuwa abiria hizo ni picha za kimikakati mimi toka nizaliwe sijawai kuwaona watu wamepanda juu ya basi hata siku moja ,tena nikujulishe hapa dar hata konda kuwacha mlango wazi wakati gari linakwenda nikosa trafiki wanakudaka ,kama uamini muulize mkenya yoyote kama alisha kuta watu wamepanda basi juu
 
Wewe endelea na battle zako za slums.
Vitu vya muhimu hutaki kuongelea kwasababu ya itikadi zisizo na msingi. Idadi ya Wanawake ni kubwa kuliko ya wanaume kwenye karibu kila nchi. Elimu Kwa Wanawake ni mwanzo mzuri wa kuleta maendeleo. Lakini nchi inayozuia kuwapa elimu Wanawake ni nchi isiyoelewa jinsi Wanawake wanavyoweza kuleta mchango mkubwa kwenye maendeleo ya nchi!
Du slum siyo vitu vya muhimu kuzungumziwa yani nyinyi kima mmeridhika na maisha ya slum kabisa dumimi ningekuwa mkenya ajenda no 1, 2,,3 zote ingekuwa ni kutokomeza slum ,lakiwe wakenya wako very comfortable kuishi slum
 
Kesho ndio kesho asemae kesho kutwa ni muongo. Ticket yangu kibindoni ready for slum tourism.View attachment 2022630
Wakunya mkuje uwanjani kesho mcheki saluti ya ndege zetu ila wakenya msijesema maji ya kuzimwagia saluti ndege zetu hakuna au mkazimwagia maji machafu
Mzee wa pandora box akishangaa air tanzania in kenya
 

Attachments

  • Tapatalk-Download-1871698471reface-2021-11-23-03-56-32.mp4
    339 KB
Kwa jinc mlivyo na roho mbaya mngeweza kukubali Watz waje kuomba kwenu? Hao ni Wakenya wenzenu wanajitafutia rizki mnawapa uraia wa Tanzania, kwn nani asiyejua kwamba Kenya kuna njaa? Kwenye njaa lazima kuwe na ombaomba hiyo huwezi kukwepa.

Shida yenu ilianzia hapa kwenye huu utafiti, soma huu uzi, uzembe wenu ndio umesababisha tuwazidi mara mbili kiuchumi na mzalishe omba omba wengi wanaotuchafulia miji yetu.
 
Shida yenu ilianzia hapa kwenye huu utafiti, soma huu uzi, uzembe wenu ndio umesababisha tuwazidi mara mbili kiuchumi na mzalishe omba omba wengi wanaotuchafulia miji yetu.
Source; Jamii Forums

Wakenya hamna akili
 
Kwa hiyo informal Settlement ni lazima iwe slum? Dar es Salaam yote hakuna SLUM ila kuna baadhi ya maeneo ni unplanned settlement (watu wamejenga nyumba nzuri tu bila kufuata mipango miji).
View attachment 2022551

Is this what you call slums? Hata UNHABITAT wanatumia neno unplanned settlements not Slums. POLENI NA SLUMS ZENU ZILIZOTUKUKA

Tukiacha ushabiki, kugeuza slums kuwa formal settlement ni rahisi kuliko kurekebisha unplanned settlement kuwa planned settlement. Gharama ya kuipanga Dar es Salaam kisasa ni kubwa kuliko kuibadirisha Kibera kuwa satelite city so tusiwacheke sana majirani zetu……”Huu ndio ukweri……” kwa sauti ya JPM.
 
Back
Top Bottom