kenya ilirogwa na nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
dah maskin [emoji20].. pamoja na uwepo wa mdhamini kwenye TV broadcasting ya ligi bado kulikuwa na njaa kwa vilabu.. sasa huyo mdhamini kaondoka itakuwaje tena[emoji20].. si wachezaji watagoma kuingia uwanjan kwa kukosa mishahara na bonus.. kwa hali hii hata yule Title sponsor nae ataondoka.. maana TV broadcaster kasepa
anyway, ligi kuu bara ndo itakuwa EPL/Laliga ya wachezaji wa ligi ya kenya.. mana bongo hakuna njaa.. kuna maisha safi[emoji1434][emoji1241]