Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eleza hapo umemaanisha nini.? kwenye ile picha umepost sio kuzungusha maneno mpuuzi wewe, hubishani na walevi wenzako vijiweni uko .. ulitaka kusema nini ulivyopost picha ya TPA tower.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Au ulitaka kusema Ilikuwa designed na wakenya.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
You too, drop to your paygrade. ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Saidia baba

Kenya turns to South Africa in new railway deal

theeastafrican.co.ke

Nov 25, 2021 9:57 AM

Kenya has turned to South Africa to revamp its old railway network, as it seeks solutions within the continent to revamp its railroad networks.

During a three-day state visit to Pretoria, Kenyan President Uhuru Kenyatta invited South African state-owned engineering company to revamp and upgrade its railway system.

President Kenyatta is seeking solutions within the continent to improve its railway system countrywide after Kenya failed to sign an agreement with a French company in July this year to fund a light rail from Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) to Nairobiโ€™s city centre.
During President Kenyattaโ€™s visit in Paris in July, Kenya failed to ink $144 million financial deal to fund the infrastructure plan.

Kenyan Transport Cabinet Secretary James Macharia told The EastAfrican that the French trip did not lead to the signing of the deal that was meant to fund the construction of the five-kilometre metre-gauge line linking the airport to the standard gauge rail (SGR) terminus in Syokimau.
Earlier agreements had provided for the signing of the loan pact by June 30 this year when President Kenyatta was in France.
The deferring of signing means that the rail project, whose construction was initially set for August this year following a deal agreed between French President Emanuel Macron and his Kenyan counterpart in March 2019, faces further delays.

View attachment 2023065
Hii hela haifiki bilioni 300 za kibongo . Wanachukua mkopo angalia riba inakua mzigo kwa taifa. Sio fair. Serikali ya kunyaland wanaweza finance wenyewe hii project
 
Du slum siyo vitu vya muhimu kuzungumziwa yani nyinyi kima mmeridhika na maisha ya slum kabisa dumimi ningekuwa mkenya ajenda no 1, 2,,3 zote ingekuwa ni kutokomeza slum ,lakiwe wakenya wako very comfortable kuishi slum
Mimi ni Mkenya? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Japokuwa Kenya ina slum kubwa zaidi Afrika na slum list ndefu, Tanzania nayo ina slums na urban planning ya kusikitisha. Miji ya Tanzania inatia aibu kubwa. Labda mji mmoja wa Tanzania ambao upo vizuri ni Moshi. Na baadhi ya maeneo tajiri ya Dar, Mwanza na Arusha. Lakini sehemu nyingine Hamna kitu!

Mnachofanya hapa ni kuaibishana Kwa picha za makazi duni lakini hamtoi suluhusho la kutatua uwepo wa makazi haya! Huu uzi Una watazamaji wengi. Sitashangaa kama viongozi wa nchi pia wanaufatilia! Kwa hiyo ukiweka mawazo yako hapa yanafika mbali.
 
Mimi ni Mkenya?

At least Kenya imejikubali na imeidentify mahali slums ziko, slums zote well documented and Kenya is working towards eradicating them.
Tanzania ata serikali na wanainchi hawajakubali kua kuna slums nchini kwa hiyo bado safari ndefu kumaliza slums upande huo wa bongo.
 
Unataka kubishana na mimi mkazi wa DSM we matako.? Unaijua ilala wewe.? Umeshawahi kuona picha za ilala humu ndani.? Umeshawahi kuona picha za Kinondoni humu ndani.? Magomeni je.? Manzese.? Sinza.? na mitaa kibao as you know Dar es Salaam is the largest City in EA .. sehemu zinapostiwa humu ndani ni sehemu common tu tatu, hiyo barabara ya Mwenge-Morocco, Kk na Posta, na ndio mana punguani kama wewe unajitia eti "naijua Dar" mavi.. mfano ๐Ÿ‘‡ hii ni ilala zoom vizur ule mjiView attachment 2019903View attachment 2019909umewaahi kuona picha za hilo eneo โ˜๏ธwapi.?
Alokuambia pics za Ilala hazijapostiwa Hulu ni nani? Fuatilia posts za Ichoboy kilaza mwenzako uzione
 
Mimi ni Mkenya? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Japokuwa Kenya ina slum kubwa zaidi Afrika na slum list ndefu, Tanzania nayo ina slums na urban planning ya kusikitisha. Miji ya Tanzania inatia aibu kubwa. Labda mji mmoja wa Tanzania ambao upo vizuri ni Moshi. Na baadhi ya maeneo tajiri ya Dar, Mwanza na Arusha. Lakini sehemu nyingine Hamna kitu!

Mnachofanya hapa ni kuaibishana Kwa picha za makazi duni lakini hamtoi suluhusho la kutatua uwepo wa makazi haya! Huu uzi Una watazamaji wengi. Sitashangaa kama viongozi wa nchi pia wanaufatilia! Kwa hiyo ukiweka mawazo yako hapa yanafika mbali.
Welcome back ndugu Walker255. Ulizama hadi wapi?
 
Vipi umekosa au.. we si unaijua DSM wewe.? Hizo unplanned settlements umedai ni makazi ya middle class, sawa nimekukubalia leta sasa makazi ya watu maskini DSM
Kwa hivyo wanaoishi mazense, Vingungutu na Gongo la Mboto ni matajiri?
 
Sasa iambie dunia waache kufikiria Slums zipo Kenya pekee waambie zipo pia na Tz.
Wenzako wanakubal ukweli wewe bado uko in denial
Screenshot_20211125-205039~2.png
 
Mimi ni Mkenya? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Japokuwa Kenya ina slum kubwa zaidi Afrika na slum list ndefu, Tanzania nayo ina slums na urban planning ya kusikitisha. Miji ya Tanzania inatia aibu kubwa. Labda mji mmoja wa Tanzania ambao upo vizuri ni Moshi. Na baadhi ya maeneo tajiri ya Dar, Mwanza na Arusha. Lakini sehemu nyingine Hamna kitu!

Mnachofanya hapa ni kuaibishana Kwa picha za makazi duni lakini hamtoi suluhusho la kutatua uwepo wa makazi haya! Huu uzi Una watazamaji wengi. Sitashangaa kama viongozi wa nchi pia wanaufatilia! Kwa hiyo ukiweka mawazo yako hapa yanafika mbali.
Well said๐Ÿ‘๐Ÿ‘, The best 007 usijifanye hujaona hii ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
At least Kenya imejikubali na imeidentify mahali slums ziko, slums zote well documented and Kenya is working towards eradicating them.
Tanzania ata serikali na wanainchi hawajakubali kua kuna slums nchini kwa hiyo bado safari ndefu kumaliza slums upande huo wa bongo.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Unaijua DSM .?
 
Mimi ni Mkenya? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Japokuwa Kenya ina slum kubwa zaidi Afrika na slum list ndefu, Tanzania nayo ina slums na urban planning ya kusikitisha. Miji ya Tanzania inatia aibu kubwa. Labda mji mmoja wa Tanzania ambao upo vizuri ni Moshi. Na baadhi ya maeneo tajiri ya Dar, Mwanza na Arusha. Lakini sehemu nyingine Hamna kitu!

Mnachofanya hapa ni kuaibishana Kwa picha za makazi duni lakini hamtoi suluhusho la kutatua uwepo wa makazi haya! Huu uzi Una watazamaji wengi. Sitashangaa kama viongozi wa nchi pia wanaufatilia! Kwa hiyo ukiweka mawazo yako hapa yanafika mbali.
Mmmmh umewahi kusafiri wapi na wapi hapa Tz wewe tuanzie hapo kwanza.. unaijua Tanga wewe.?
 
Bado wivu inakunyonga hadi wa leo ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ umefinywa pabaya, najua inauma lakini zoea tu ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
3012584_download202.jpeg
ni mlevi pekee๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
D4DFDCEE-DB4A-4485-A018-E5512804D2E9.jpeg
 
Back
Top Bottom