Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Itawachukua Kenya miaka 200 kuwa na view kama hii.
JamiiForums66642232.jpg
 
Inamaana hapo Nairobi hakuna projects za serikali zenye kulenga huduma za kijamii?, Maji, makazi, ajira, Hospitali, usalama wa raia na chakula.
Projects za makazi tumeweka hapa si haba (slum upgrading projects, Affordable housing projects za Ngara, Pagani nk) ila mwishowe mnatoa povu.

Projects za hospitali tumeweka hapa si haba pia. From Mama Lucy Hospital to Mbagathi hospital among others.

We've also touched on water projects done by NMS under 'Nairobi Regeneration Program' among many other programs.

Tatizo lako ni pale unapoteta tukipost picha za Nairobi na kusema tupost miradi zinazofaidi wakenya wakati wewe umegeuza huu uzi kuwa ni ya kupost projects za Tanzania as a country. Umesahau this is a thread created to compare Nairobi and Dar? Ama unafikiri sisi hatuna miradi za kupost outside Nairobi? We are just trying to follow the rules, something that you have violated time and again by posting Tanzania projects in the wrong thread.

I am repeating again, if you want us to compare government projects that impact on wananchi directly, fungua thread tukutane huko instead of spamming this thread with unrelated content then crying foul!
 
Hii hela haifiki bilioni 300 za kibongo . Wanachukua mkopo angalia riba inakua mzigo kwa taifa. Sio fair. Serikali ya kunyaland wanaweza finance wenyewe hii project
If they cannot finance projects in waste management will they be able to finance rail projects? I tell you the country is a total failure ujuaji mwingi na kasumba ya mkoloni inawatafuna.
 
Mimi ni Mkenya?

Japokuwa Kenya ina slum kubwa zaidi Afrika na slum list ndefu, Tanzania nayo ina slums na urban planning ya kusikitisha. Miji ya Tanzania inatia aibu kubwa. Labda mji mmoja wa Tanzania ambao upo vizuri ni Moshi. Na baadhi ya maeneo tajiri ya Dar, Mwanza na Arusha. Lakini sehemu nyingine Hamna kitu!

Mnachofanya hapa ni kuaibishana Kwa picha za makazi duni lakini hamtoi suluhusho la kutatua uwepo wa makazi haya! Huu uzi Una watazamaji wengi. Sitashangaa kama viongozi wa nchi pia wanaufatilia! Kwa hiyo ukiweka mawazo yako hapa yanafika mbali.
Hujui Tz wewe Tanga city tuu hakuna city in EA inayoweza kuifikia kwa urban planning uliza uambiwe
 
At least Kenya imejikubali na imeidentify mahali slums ziko, slums zote well documented and Kenya is working towards eradicating them.
Tanzania ata serikali na wanainchi hawajakubali kua kuna slums nchini kwa hiyo bado safari ndefu kumaliza slums upande huo wa bongo.
Slum hakuna na hata UN Habitat wametafuta wamekosa habari ndio hiyo
 
Hujui Tz wewe Tanga city tuu hakuna city in EA inayoweza kuifikia kwa urban planning uliza uambiwe
1C7FAB2C-4ECB-46D5-B327-36A03A1F6FB5.jpeg

Hii si Ndio Tanga unayozungumzia? Hii Sio urban planning ninayozungumzia mimi. Urban planning Sio mpangilio wa makazi katika grids! Makazi haya Kwa kuyaangalia tu unaona ni duni! Hapa hata sewarage system sidhani kama ipo! Barabara zenyewe vumbi Tupu!

Inabidi tuwe honest. Kuficha uchafu uliipo ni Sawa na kuufanyia promotion undelee kuwepo. Tena nafurahi wakenya wanavyotubeza ili aibu tupate.
 
Back
Top Bottom