ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
mchina hatawaacha salama ww subiri utajionea 🤣🤣🤣🤣
Unataka tuweke battle na mji gani hapo kwenu twende ground.?Well said👏👏, The best 007 usijifanye hujaona hii 🤣🤣🤣
kabisaMimi ni Mkenya?![]()
Japokuwa Kenya ina slum kubwa zaidi Afrika na slum list ndefu, Tanzania nayo ina slums na urban planning ya kusikitisha. Miji ya Tanzania inatia aibu kubwa. Labda mji mmoja wa Tanzania ambao upo vizuri ni Moshi. Na baadhi ya maeneo tajiri ya Dar, Mwanza na Arusha. Lakini sehemu nyingine Hamna kitu!
Mnachofanya hapa ni kuaibishana Kwa picha za makazi duni lakini hamtoi suluhusho la kutatua uwepo wa makazi haya! Huu uzi Una watazamaji wengi. Sitashangaa kama viongozi wa nchi pia wanaufatilia! Kwa hiyo ukiweka mawazo yako hapa yanafika mbali.
je imefika 1% of its render 😂😂😂 naomba ujibu bila hasira na ukumbuke ni over 13yrs nowPrivate sector Iko ngangari, tatu cirry🚧View attachment 2023495View attachment 2023496View attachment 2023491View attachment 2023493View attachment 2023490
Hawa ukiwapa picha us Karibu ta slum, wataikana yet ukiwapa YA mbali, watasema upost YA Karibu.🚮🚮There was a time I had a hard time with Ichoboy about this picture. Yani alikataa kabisa hapa sio Dar?
Kabla sijakujibu kigamboni city imefika wapi🤣🤣🤣🤣👇👇je imefika 1% of its render 😂😂😂 naomba ujibu bila hasira na ukumbuke ni over 13yrs now
View attachment 2023500View attachment 2023501
Kaumia😂😂😂 twende mombasa vs Dar unasemaje.Unataka tuweke battle na mji gani hapo kwenu twende ground.?
Hivi hawa jamaa wamekwama wapi, yaani hata ujenzi wa 5 Kilometers mnaenda kutembea bakuli South Africa, acheni kutuletea aibu....Saidia baba
Kenya turns to South Africa in new railway deal
theeastafrican.co.ke
Nov 25, 2021 9:57 AM
Kenya has turned to South Africa to revamp its old railway network, as it seeks solutions within the continent to revamp its railroad networks.
During a three-day state visit to Pretoria, Kenyan President Uhuru Kenyatta invited South African state-owned engineering company to revamp and upgrade its railway system.
President Kenyatta is seeking solutions within the continent to improve its railway system countrywide after Kenya failed to sign an agreement with a French company in July this year to fund a light rail from Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) to Nairobi’s city centre.
During President Kenyatta’s visit in Paris in July, Kenya failed to ink $144 million financial deal to fund the infrastructure plan.
Kenyan Transport Cabinet Secretary James Macharia told The EastAfrican that the French trip did not lead to the signing of the deal that was meant to fund the construction of the five-kilometre metre-gauge line linking the airport to the standard gauge rail (SGR) terminus in Syokimau.
Earlier agreements had provided for the signing of the loan pact by June 30 this year when President Kenyatta was in France.
The deferring of signing means that the rail project, whose construction was initially set for August this year following a deal agreed between French President Emanuel Macron and his Kenyan counterpart in March 2019, faces further delays.
View attachment 2023065
Eti zoom 😂 😂 😂Hawa ukiwapa picha us Karibu ta slum, wataikana yet ukiwapa YA mbali, watasema upost YA Karibu.🚮🚮
Kwa hivyo hapo si Dar?🤣🤣🤣🤣🤣Eti cha ngonbe unaokota mapicha wewe huijui Daresalaam 🙂
sasa unakataa au😂😂😂😂
That road is wiiiiide! Alafu utasikia vilaza wakiiamba eti Kenya kila kitu ni Nairobi tuNew construction, Isiolo- mandera road, 740km. devolution ingeanza mapema tungekua mbali sana.View attachment 2023534View attachment 2023535