Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inasikitisha sana kuona binadamu tena na akili zake zimetimia na hana ulemavu wowote anaishi kwenye nyumba za mabati tena zilizojirundika pamoja kiasi kwamba hata kupata hewa nzuri ni shida. Ndio maana asilimia kubwa ya watu wa Nairobi wana roho mbaya na ni wakatili sana. Huwezi kuishi kwenye nyumba na mazingira kama haya halafu psychologically uwe vizuri (balanced). Ndio maana Nairobi ni chafu sana maana watu wanaoishi kwenye haya mazingira ya slums huwezi kumwambia "KEEP THE CITY CLEAN" akakuelewa. Serikali ikiwaudhi kesho yake utakutana na viroba kibao vya mbolea ya binadamu kwenye mitaro ya CBD ili ku-keep clean slums zao.
 
Wale wanaosema Dar CBD haina miti angalia tu sehemu ndogo ya jiji ilivyosheheni miti (siyo pori) inayopendezesha jiji. Nairobi ina miti na mapori tengefu- all existing in the so called city cbd!
settlemnt.jpg
 
thats Nairobi, but just a small portion, less than 15% if am so to say .. 'Slums in nairobi are well defined and well structured',. even when the National or County Govt, or Charitable Organizations, or Churches, or The Muslim Community, or Foreign Aid, or even The Sikh, comes inhand, they already know where they will exactly go...
whereas Slums in Dar-Is-Slum are scattered and intermixed with Mid-Class such tht even the Govt or Foreign Aiders are confused!.
infact, all settlements in Dar, compose of up to 70% Informal Settlements.. thats according to The UN report 2019, google it please.. if u don't believe me, i can help u find it

majority of nairobians are middle-class per se
Aisee kumbe slums za Kenya ziko kwenye mipango miji eti well defined and well structured so we should see more of these slums coning into existence everywhere kwasababu ndio urban planning yao.
 
ukweli upo, wacha kuji console msera wangu..
hebu search informal settlement kwenye oxford dictionary.
smile sana babaake, habari ndo hio View attachment 2022553
Ss hapo hujaelewa nn? Ni kwamba all slums are informal settlement but not all informal settlement are Slum, that's why no slums in Tz, rather there are some informal settlement msifosi tufanane jombaa pambaneni muyapunguze hayo ma slums cz ni aibu na fedheha kwa nchi.
 
Vibaka wa Nairobi wamemuua mwandishi wa Habari wa bbc

Juzi juzi tena polisi wa Mombasa walifungwa kwa kumuua kijana wa kizungu alikuwa tajiri

Kenya wanajichafulia wenyewe kwa wizi
 
Vibaka wa Nairobi wamemuua mwandishi wa Habari wa bbc

Juzi juzi tena polisi wa Mombasa walifungwa kwa kumuua kijana wa kizungu alikuwa tajiri

Kenya wanajichafulia wenyewe kwa wizi
Sisi ndiyo furaha yetu ili investors wakimbie wote waje Tz wawaache na ustaarabu wao wa kishenzi.
 
Back
Top Bottom