joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Kwa akili yako nchi yenye uchumi mkubwa inaweza kushindwa kulipa salaries za watumishi wake?So kwa akili yako hii inamaanisha kwamba Kenya haina uchumi mkubwa kushinda wenu?
Kwa akili yako nchi yenye uchumi mkubwa inaweza kushindwa kulipa salaries za watumishi wake?So kwa akili yako hii inamaanisha kwamba Kenya haina uchumi mkubwa kushinda wenu?
Dom inazidi kunoga,na mama kadhamiria ,kamwaga mabilioni mengine kuendelea na ujenzi 👇Dodoma inavyoipiga Nairobi na vitu vizito kichwani 😅😅😅😅
Hapa sio Magufuli City
Kama Capetown tu
View attachment 2021548
Wewe ni WA kupuuzwa huna jipya kwa sasa.Ccm nzima mwanaume alikuwa MAGUFULI TU KWA KIPINDI HICHI WALIOBAKI KALIBIA WOTE WANASHINDWA KUKAZA SAUTINI VIJANA NYORORO ,ROJOROJO ,mwambie Geza Ulole aposti picha aliyo ifuta ya masisiemu yamepaka lipstick
![]()
Dodoma inavyoipiga Nairobi na vitu vizito kichwani
Hapa sio Magufuli City
Kama Capetown tu
View attachment 2021548
This space is 5 years old, ni speed kubwa sana Dodoma inakimbia, hili eneo ni apartments, hotels, restaurants, government agencies, Tanzania high Court, Tanzania Judiciary HQ and other state parastatals hata PM office ipo eneo hili la Medeli, SGR line imepita hapo pia
Tumeona hii issue iko across the board from KQ employees to police officers yaani ni nchi nzima hakuna namna madeni yamekuwa mengi na obligations za end of year ni nyingi sana.
Haya wewe mwenye GDP ya makaratasi unaeshindwa kulipa govt workers salary mpaka una slash their salariesWacha bangi.
You don't need a bank to be listed to know that Family Bank, Kenya's 10th biggest bank, makes more annual profits than your most profitable bank.![]()
![]()
![]()
Tafuta excuse ingine for your low GDP.
Normally worldwide whenever there is an economic boom it is always followed by a bust kama rate ya economic heating haitakuwa controlled. Sasa kwa hawa ndugu zetu they have been having artificial economic boom on papers hiyo bust yake sijui itakuwaje maana deflation itakuwa si ya kitoto lazima waanze upya from scratch kwenye economics zao.
Jamani watz tuwe na imani punguzeni mahela ya ujenzi Dom tuwape jirani walipe mishahara kidogo.Dom inazidi kunoga,na mama kadhamiria ,kamwaga mabilioni mengine kuendelea na ujenzi
View attachment 2021990
Jibu swali..So kwa akili yako hii inamaanisha kwamba Kenya haina uchumi mkubwa kushinda wenu?
Huyu kiumbe bhnmbona imekuuma sana watu kuzaliana au unataka wote tuwe mashoga kama wewe ili tusizaliane ,kama mama yako kazaa mtoto mpumbafuu kama wewe kwanini tuzuie wengine kuzaliana , ushauri wangu kwako ...piga mazoezi ,kula vumbi la1 kongo,kula karanga mbichi ,ili urudie kwenye uwanaume mambo ya kichoga siyo dili sana kama unavyo yaendekeza au kama vipi ni PM nikusaidie maana nimewasaidia watu kama wewe 6 hivi sasa hivi wanawatoto








Kwa jinc mlivyo na roho mbaya mngeweza kukubali Watz waje kuomba kwenu? Hao ni Wakenya wenzenu wanajitafutia rizki mnawapa uraia wa Tanzania, kwn nani asiyejua kwamba Kenya kuna njaa? Kwenye njaa lazima kuwe na ombaomba hiyo huwezi kukwepa.Nyie ndio nch pekee ukanda huu ya kujaza omba omba Kenya, sijui kwanini hamuwatumi kwingine, mnatuchafulia miji sana na kutia aibu, nilishangaa wapo mpaka miji mingine kama vile Eldoret, hovyoo na uzembe wenu huo ukiongeza na ulaji wa nyama za albino, mlisharogwa.
Duh aisee kweli Tony254 alisema kweli kwamba Watz kuna uharo mkubwa wa Kenya hatujaujua, haya ni ma slums mapya kabisa.View attachment 2021174View attachment 2021172View attachment 2021175View attachment 2021179View attachment 2021181View attachment 2021186View attachment 2021187View attachment 2021188View attachment 2021191View attachment 2021193View attachment 2021196View attachment 2021198View attachment 2021202View attachment 2021203View attachment 2021204View attachment 2021206View attachment 2021207Slum mbali mbali Nairobi courtesy ya Kaka wawili ambao nilifanya nao project mbali mbaliView attachment 2021172