Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Hii kitu apana kabisa....Kwahiyo mkuu ukaamua kusaliti chama kwasababu ya wajawazito kufukuzwa shule, hongera sana mkuu ulipigania hili jambo naona ss bibi NGO karuhusu, now mwanao huna haja ya kumzuia asipate mimba, na nategemea ss tutaendelea na battle hili jambo limekwisha ss.




