Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂we ni Kichaa kweli, Kama kupata kadaraja kamoja ndio kushindana na Dar then sorry for you.. owky this is Kigongo Busisi 👇View attachment 2022392View attachment 2022395View attachment 2022397View attachment 2022399we unafkiri Mombasa na watu wa Mombasa walivyo, inaweza kushindana na Mwanza.? Kama kuwa na kadaraja ni kushindana na Dar 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 pole sana kashindanishe hako kadaraja na Mwanza tuone kama kitatoboa
Daraja sio moja Kuna zingine under construction kama makupa, mteza na mwache. Ndomaana nikisema Bado tower tatu za blue I know what I mean.
 
Duh hii picha ya watu kukaa juu ya Carrier ni ya wapi hii, haijawahi kutokea Tanzania na haitatokea mpk dunia inakwisha, ustaarabu wa Kenya na India huu.
Karibu gongo la mboto 🤣🤣🤣
images (14).jpeg
images (3).jpeg
 
Watu wanafosi tufanane [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Daraja sio moja Kuna zingine under construction kama makupa, mteza na mwache. Ndomaana nikisema Bado tower tatu za blue I know what I mean.
We unavyojua Mwanza kuna Madaraja mangapi.? Mzee wa kujifanya unaijua tz 😂😂😂hiyo mombasa level yake ni Mwanza tu kijana
 
Back
Top Bottom