Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

New road alert🚧 Turkana.

FEnJyJIXMAQmUEz.jpeg

FEnJx6VXMAQA9F1.jpeg
 
Wewe Jamaa ni misogynist. Huna mama au dada? Huna mwanamke yoyote unayemthamini maishani? Ungependa kuona mwanamke anatupwa kwenye umasikini? Kinachokuogopesha ni nguvu ya wanawake.

Halafu, Kwa hiyo sina haki ya kuongelea kuhusu Wanawake wenye hii thread? Nitaongea jambo lolote ninalotaka hapa. As long as linafuata taratibu za JF.
Sawa.
 
Nyumba za Wakenya wa kawaida wanaounda over 80% of Kenya population, most of the houses are made of mabati.
JamiiForums-359013736.jpg
JamiiForums1308299518.jpg
JamiiForums-80698377.jpg
JamiiForums-80698377.jpg
JamiiForums-944455497.jpg
 
Over 99% of Nairobi City is sorrounded with Slums.View attachment 2022441
thats Nairobi, but just a small portion, less than 15% if am so to say .. 'Slums in nairobi are well defined and well structured',. even when the National or County Govt, or Charitable Organizations, or Churches, or The Muslim Community, or Foreign Aid, or even The Sikh, comes inhand, they already know where they will exactly go...
whereas Slums in Dar-Is-Slum are scattered and intermixed with Mid-Class such tht even the Govt or Foreign Aiders are confused!.
infact, all settlements in Dar, compose of up to 70% Informal Settlements.. thats according to The UN report 2019, google it please.. if u don't believe me, i can help u find it

majority of nairobians are middle-class per se
 
Kwa hiyo informal Settlement ni lazima iwe slum? Dar es Salaam yote hakuna SLUM ila kuna baadhi ya maeneo ni unplanned settlement (watu wamejenga nyumba nzuri tu bila kufuata mipango miji).
Unplanned Settlement.jpg

Is this what you call slums? Hata UNHABITAT wanatumia neno unplanned settlements not Slums. POLENI NA SLUMS ZENU ZILIZOTUKUKA
 
Kwa hiyo informal Settlement ni lazima iwe slum? Dar es Salaam yote hakuna SLUM ila kuna baadhi ya maeneo ni unplanned settlement (watu wamejenga nyumba nzuri tu bila kufuata mipango miji).
View attachment 2022551

Is this what you call slums? Hata UNHABITAT wanatumia neno unplanned settlements not Slums. POLENI NA SLUMS ZENU ZILIZOTUKUKA
ukweli upo, wacha kuji console msera wangu..
hebu search informal settlement kwenye oxford dictionary.
smile sana babaake, habari ndo hio👇🏽
Screenshot_2021-11-25-02-11-05-36.jpg
 
ukweli upo, wacha kuji console msera wangu..
hebu search informal settlement kwa oxford dictionary
smile sana babaake, habari ndo hio👇🏽 View attachment 2022553
Wewe ndio unaji-console. I know what am talking about. Dar es Salaam hakuna SLUM eboooo! SOMA HAPO CHINI UNAWEZA ELEWA KWA NINI TUNASEMA DAR HAKUNA SLUM. Hakuna mtanzania anayetamani kuishi kwenye unplanned areas ni kwa vile tu serikali haipimi viwanja kwa wingi kukidhi mahitaji ya wananchi.
Land Tenure System-1.jpg

Land Tenure System-2.jpg
 
Back
Top Bottom