Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nmejiuliza miezi 8 tunaimport nn na iyo hela ambayo ni ndogo kulinganisha na iyo kubwa yakutosha miezi 5 apo...Je hatuna uwezo wa kununua kuliko wao au MATUMIZI yetu yako chini sana?

Inawezekana sisi tunavyonunua ni vile ambavyo hatuna, na vingine vinapatikana hapa hivyo havitahitaji matumizi ya Dollar kuvifuata. Tunavyovihitaja nje ni Bidhaa muhimu kama za mafuta.

Wenzetu labda hawana vitu tulivyonavyo sisi so ni lazima watumie dollar kuvifuata. ie Misosi. Hivyo watatumia hela nyingi muda mfupi. IMO.
 
“jamen” wakenya bila uongo hawawezi kuishi

official data hizi hapa kutoka CBK na BOT

the issue isn’t not about the reserve (amount), the issue is about the months of imports (hehe mim sio mchumi i hope mmeelewa naaminisha nn)

Kenya (CBK) - 5 months of imports - $8.8b
View attachment 2017430

Tanzania (BOT) - 7 months of imports - $6.7b
View attachment 2017433
hao ndiyo wakunya bwana,ground kwa upande wao ni vitu tofauti
 
“jamen” wakenya bila uongo hawawezi kuishi

official data hizi hapa kutoka CBK na BOT

the issue isn’t not about the reserve (amount), the issue is about the months of imports (hehe mim sio mchumi i hope mmeelewa naaminisha nn)

Kenya (CBK) - 5 months of imports - $8.8b
View attachment 2017430

Tanzania (BOT) - 7 months of imports - $6.7b
View attachment 2017433
Can do anything and say anything kuonekana Bora lakini kwa ground sasa 🤣🤣🤣🤣
 
Inawezekana sisi tunavyonunua ni vile ambavyo hatuna, na vingine vinapatikana hapa hivyo havitahitaji matumizi ya Dollar kuvifuata. Tunavyovihitaja nje ni Bidhaa muhimu kama za mafuta.

Wenzetu labda hawana vitu tulivyonavyo sisi so ni lazima watumie dollar kuvifuata. ie Misosi. Hivyo watatumia hela nyingi muda mfupi. IMO.
huo ndiyo ukweli vitu vingi kwao havipatikani hivyo lazima wategemee vingi kuagiza nje
 
Tafuta mtu akutafsirie hii hapa, ikiwa wenye zao huko Sea Cliff wanateseka hivi, jameni maskini walalhoi kama wewe Tandale lazima mnakoma aisei.

3006171_IMG-20211119-WA0172.jpg
Nyie mmeshazoea sio😃

Nmejiuliza miezi 8 tunaimport nn na iyo hela ambayo ni ndogo kulinganisha na iyo kubwa yakutosha miezi 5 apo...Je hatuna uwezo wa kununua kuliko wao au MATUMIZI yetu yako chini sana?
Maana yake kenya is a more importing economy while Tanzania is a less importing economy because of developed industries. Hiyo ndio tofauti kubwa ya hizo reserves na months of imports
 
ukimsikiliza mmkunya akizungumza utasema daaah jamaa wako vizuri lakini maisha Yao in reality 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wakuu nimebaatika kutembelea nchi nyingi ndani na nje ya Africa,Ila Leo nimewaza Sana na kumshukuru mungu kwa neema ya kuzaliwa Tanzania kwa kweli Tanzania hatuko perfect lakini we are blessed.
Tanzania nakupenda kwa moyo wangu wote forever Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Sea Cliff naifahamu nimewahi kuhudumiwa pale, ni mzaha mkubwa sana kwa hoteli yenye hadhi hiyo kukosa maji, hainiingii akilini, hawa jamaa uzembe wao huwakwamisha sana.
Ni aibu kubwa, hoteli kama hio kukosa water recycling plant au hata borehole.
 
Back
Top Bottom