Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maneno ya mkosaji. Huenda hizo low quality yanatufaa. Swali ni je, kati ya hizo low quality zetu na zile dreamhouses zenu gani afadhali?
Heb ngoja nikunyooshee maelezo .. kwenu NAIROBI kuna makazi ya namna tatu, ..
1. Makazi ya watu wa kipato cha juu
2. Makazi ya watu wa kipato cha Kati cha chini (hizo low quality apartments)
3. Makazi ya watu wa kipato cha Kati cha juu (apartments)
4. Makazi ya mchokoraa/choka mbuvu (slums) nyumba zenye kuta za mabati
Vs DSM
1. Makazi ya kipato cha juu
2. Kipato cha Kati cha juu (quality apartments)
3. Makazi ya watu wa kipato cha Kati cha chini (dream houses)
3. Makazi ya watu wa kipato cha chini (unplanned settlements) ..

NB: Maskini wa Nairobi ako na hali mbaya zaidi kulinganisha na maskini wa Dar es Salaam since DSM hakuna mtu anaishi kwenye mabati
 
Mtasubiri sana midanganyika. Sometimes it's important to do a little bit of homework before ranting, it will just expose your ignorance. Do you have any idea that more than 2/3 of all cargo that pass through the port of Mombasa is destined for the local Kenyan market?

As of 2019, Uganda remained Mombasa's ports biggest client, with more than 4 million tonnes imported through that port that year. The point is, Mombasa port can still remain afloat and functional even if all the neighboring countries stopped using it because most cargo that pass through it end up in Kenyan market. Hapo ndio sasa utajua umuhimu wa ''uchumi wa kwenye makaratasi'' We have a bigger purchasing power, a bigger industrial requirement, a bigger everything that's why our economy consumes more than a half of all cargos that pass through our main port
We mbona muongo muongo wewe 😂😂😂, we unazungumzia data za miaka miwili iliyopita au haujui kuwa tupo 2021
Hii story ya markets siku hizi hawaguzi tena. Just the same way ya mahospitali waliachana nayo kabisa
😂😂😂 Kwamba battle ya Hospital mlitupiga .? Lini.? Battle ya hospitals Tuliwapiga hapa hands down.. nataka ujichanganye tena ulete story za machines (radiological departments) .now niko na data sahihi tz ziko hospitals zaidi ya kumi zenye MRI and CT scan.. NB: hizo ni public hospitals tu
 
We mbona muongo muongo wewe 😂😂😂, we unazungumzia data za miaka miwili iliyopita au haujui kuwa tupo 2021

😂😂😂 Kwamba battle ya Hospital mlitupiga .? Lini.? Battle ya hospitals Tuliwapiga hapa hands down.. nataka ujichanganye tena ulete story za machines (radiological departments) .now niko na data sahihi tz ziko hospitals zaidi ya kumi zenye MRI and CT scan.. NB: hizo ni public hospitals tu
hehehehehe..😆😆😆😆. eti watz wanataka kuleta battle ya hospitals hapa.... this are now challenges tht i realy like
 
Mv uhuru2, very soon tunaanza kutengeza frigates.
FD-H5cwWUAAb9vD.jpeg
FETTkMzWQAgZjOI.jpeg
FETTkM5WUAIpuZp.jpeg
 
Heb ngoja nikunyooshee maelezo .. kwenu NAIROBI kuna makazi ya namna tatu, ..
1. Makazi ya watu wa kipato cha juu
2. Makazi ya watu wa kipato cha Kati cha chini (hizo low quality apartments)
3. Makazi ya watu wa kipato cha Kati cha juu (apartments)
4. Makazi ya mchokoraa/choka mbuvu (slums) nyumba zenye kuta za mabati
Vs DSM
1. Makazi ya kipato cha juu
2. Kipato cha Kati cha juu (quality apartments)
3. Makazi ya watu wa kipato cha Kati cha chini (dream houses)
3. Makazi ya watu wa kipato cha chini (unplanned settlements) ..

NB: Maskini wa Nairobi ako na hali mbaya zaidi kulinganisha na maskini wa Dar es Salaam since DSM hakuna mtu anaishi kwenye mabati
Kenya kuna nyumba ya KSH 50 per month.. mkenya anayebisha anitag
 
Aisee hii picha ni noma wakuu, salute NDINDA wao vi CBD vyao vimekaa kiafrika Africa cc tunaanza kufanana na Dubai View attachment 2013183
Kingine wasio kijua ni hiyo Open green space, hapo katikati pasipo na nyumba ndio panaitwa UWANJA WA FARASI , hapo ni eneo la wazi na unaweza piga mechi hapo na Marathoni za Dar start na finish ni hapo, pia mashindano maarufu ya Dar Goat race, na matamasha mengine yanafanyika hapo pia.
 
na walikuwa wanatuchalaza kisawa sawa,ona jinsi thread ilivyoanza 2017 mpaka sasa,utagundua kabisa ni jiji gani lililo chsnge fasta
Ni nini kimechange Dar in those four years? Kujenga elevated road ya kwanza au nini?
 
Prime minister wa danganyika ni muongo
Is he the same guy mwenye aliwaamisha kwamba magufuli yuko nzima na ''anachapa kazi''while the truth was that the guy was already dead? 😂 😂 😂
Kucheza na akili ya mtanzania ni rahisi sana
 
We mbona muongo muongo wewe 😂😂😂, we unazungumzia data za miaka miwili iliyopita au haujui kuwa tupo 2021

😂😂😂 Kwamba battle ya Hospital mlitupiga .? Lini.? Battle ya hospitals Tuliwapiga hapa hands down.. nataka ujichanganye tena ulete story za machines (radiological departments) .now niko na data sahihi tz ziko hospitals zaidi ya kumi zenye MRI and CT scan.. NB: hizo ni public hospitals tu
Nimeleta data ya 2019 ndio utumie akili kidogo. Kama hiyo data ya 2019 inazidi data yenu ya 2021 si hapo nikutumia tu akili na kunyamaza? You shouldn't open your filthy mouth all the time
 
Heb ngoja nikunyooshee maelezo .. kwenu NAIROBI kuna makazi ya namna tatu, ..
1. Makazi ya watu wa kipato cha juu
2. Makazi ya watu wa kipato cha Kati cha chini (hizo low quality apartments)
3. Makazi ya watu wa kipato cha Kati cha juu (apartments)
4. Makazi ya mchokoraa/choka mbuvu (slums) nyumba zenye kuta za mabati
Vs DSM
1. Makazi ya kipato cha juu
2. Kipato cha Kati cha juu (quality apartments)
3. Makazi ya watu wa kipato cha Kati cha chini (dream houses)
3. Makazi ya watu wa kipato cha chini (unplanned settlements) ..

NB: Maskini wa Nairobi ako na hali mbaya zaidi kulinganisha na maskini wa Dar es Salaam since DSM hakuna mtu anaishi kwenye mabati
More than a half of residential houses in Dar ni uswazi aka dreamhouses. Mbona unajitekenya? Hizo dreamhouses ndio uswazi babaa kama hujui.
 
Mtasubiri sana midanganyika. Sometimes it's important to do a little bit of homework before ranting, it will just expose your ignorance. Do you have any idea that more than 2/3 of all cargo that pass through the port of Mombasa is destined for the local Kenyan market?

As of 2019, Uganda remained Mombasa's ports biggest client, with more than 4 million tonnes imported through that port that year. The point is, Mombasa port can still remain afloat and functional even if all the neighboring countries stopped using it because most cargo that pass through it end up in Kenyan market. Hapo ndio sasa utajua umuhimu wa ''uchumi wa kwenye makaratasi'' We have a bigger purchasing power, a bigger industrial requirement, a bigger everything that's why our economy consumes more than a half of all cargos that pass through our main port
Huu ni ujinga unaweka hapa.

Kama mzigo mwingi unaingia Kenya ni mzigo gani huo? Mahindi na ngano au? Mngekuwa na viwanda vingi tungetarajia kuona bidhaa zenu nyingi za viwandani katika nchi zilizowazunguka. Lakini hakuna kitu.. Hadi nyie ndio mnatumia mbinu chafu kuzuia bidhaa za nchi nyingine kuingia kwenu.

Nimevamia vita kimya kimya..
 
Back
Top Bottom