Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vingi vilikuwa vyuma vya sgr vya kaka yenu mchina
So unamaanisha kwamba SGR bado inajengwa hadi wa leo ama argument yako ni nini? This year alone, Mombasa port handled 9.54m tonnes in the first quarter of this year (the first three months), which is a 10% increase compared to a similar period last year. Assuming the figure remains constant throughout the year, that would be around 38m tonnes in 2021.

Kubalini kwamba kwa hili tumewashinda instead of looking for flimsy excuses

Nataka ukubali kwamba maskini wa NAIROBI akija DSM atakufa, hawezani .. maskini wa NAIROBI ako na hali mbovu zaidi kulinganisha na maskini wa Dar, since maskini wa NAIROBI wanaishi kwenye nymba zenye kuta za mabati.. 😂😂😂
Unamaanisha hawa maskini ama?
PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
So unamaanisha kwamba SGR bado inajengwa hadi wa leo ama argument yako ni nini? This year alone, Mombasa port handled 9.54m tonnes in the first quarter of this year (the first three months), which is a 10% increase compared to a similar period last year. Assuming the figure remains constant throughout the year, that would be around 38m tonnes in 2021.

Kubalini kwamba kwa hili tumewashinda instead of looking for flimsy excuses

Let's data kijana.. bla bla bla .. unajamba tu
 
😂😂😂 Bro wageni wakitembea nchini kwenu unamaanisha uchumi au.?
Ndio. Anatembelea nchi zenye heshima na hadhi kubwa hapa Afrika. Anatembelea Senegal, Nigeria na Kenya. Nchi zote tatu zina uchumi dhabiti na ni superpower katika region zao
 
Hahaha. By the way TZ ilikuwa na very close friendship na North Korea zamani.
Owky kwahyo unakubaliana kwamba viongozi wa kigeni wakikutembelea (nchini mwako) maana yake ni uhusiano mzuri kati yenu na wao na haimaanishi kuwa mnatembelewa kwasababu ya nchi yenu kuwa na uchumi mkubwa sindio kaka Tony.?
 
Makomunisti TZ na DPRK nyie hamuangalii uchumi wala pesa. Makapitolisti Kenya na US tunatilia maanani maswala ya uchumi.
 
Back
Top Bottom