Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha kujamba wewe leta Takwimu za wakazi wa hizo City zenu..
Tatizo la kukua na city moja kwa nchi kubwa kama Tanzania..,
1637142117811.jpeg

1637142138434.jpeg
 
Acha kujamba wewe leta Takwimu za wakazi wa hizo City zenu..
Millioni saba kwasababu taifa lina city moja nyote fukara kutoka vijijini mnakimbilia dar kutafuta maisha., sitashangaa mkifika millioni kumi before 2025! ufukara vijijini ni mingi mno 😂 😂 😂 😂 ., na yale vijiji mnaita city hazina uwezo wa kiuchumi kuwezesha watu wengi kufaulu., ni Dar mnaelekea nyoote, ona ufukara mlio mwaga jijini Dar., uswazi kote kote., nyumba za ovyo, njia ni vichochoro kwa sehemu nyingi sana! magari hayawezi kuingia ndani ndani, balaa!! ni aibu sana!
Ukubwa wa Dar ni population, ukubwa wa ujenzi ni makazi uchwara 😂 😂 😂 😂
1637142041121.jpeg

1637141996743.jpeg
 
Sasa hicho umepost ni kitu gani ndugu yangu Don YF na huna hata aibu unataka ushindanishe sujui na kitu gani 😂😂, kujitia uchizi tu usiokuanao
Kiswahili tu ndio mnajua., nothing meaningful beyond, ni blind patriotism tu, wengi hamuna uwezo wa kufikiria zaidi ya pua, kazi ni kupingana tu na kukurupuka bila kufanya utafiti mwafaka, poleni sana, mnatia huruma 😂 😂 😂 .,
 
Danganyikan, port of Mombasa handled 34m metric tonnes of cargo in 2019. Out of these, only 4m metric tonnes went to Uganda. Am using Uganda coz it's the biggest client of Mombasa port. Sasa unadhani hizo tonnes zingine zinaendapi?
Vingi vilikuwa vyuma vya sgr vya kaka yenu mchina
 
US Secretary of state Anthony Blinken huyo kawasili Kenya. Malazy malazy malazy endeleeni kulala.

 
Global warming is real. Bahari litafunika most of dar is a slum by 2100. Posta etc.
Natural calamity haziwezi tokea Tanzania forget about locust , drought, flood . Ndio maana hata mwaka huu walipredict kimbunga kutokea from the ocean matokeo yake wamekamatwa wapakistani wanaleta sijui heroine au cocaine. We are blessed Tanzania
 
Kiswahili tu ndio mnajua., nothing meaningful beyond, ni blind patriotism tu, wengi hamuna uwezo wa kufikiria zaidi ya pua, kazi ni kupingana tu na kukurupuka bila kufanya utafiti mwafaka, poleni sana, mnatia huruma 😂 😂 😂 .,
Uwezo wa kumfikiri.?😂😂😂, Vitu vinavyotazamika kwa macho vinahitaji uwezo wa kumfikiri.?😂😂😂, Kichaa wewe
 
Duh hii kweli imetoka moyoni . Kweli huipendi Tanzania . Atleast ungesema ukweli inapendeza Sana. Vumilia tu mkuu
Wewe hujui in few years east africa haitakuwa part ya continental shelf ya Africa bali itakuwa east african island.
 
Back
Top Bottom