Sasa hivi hatuna raisi badala ya kuimiza kupandwa miti hata kwa kutumia wafungwa 7eye anatangatanga nchi za watu sasa hivi ni tofauti na kipindi cha magufuli tungekuwa tunasikia raisi akidhungumzua mikakati ya upandaji miti kwa mamilioni...wakati mpuuzi ana dhungumzi chanjo feki za kovidi na jinsia sijui nani kamwambia wanawake wanakula jinsia
Uganda ....vumbitupuMdanganyika mjinga barabara kama hii haitawahi jengwa danganyika ukiwa uhai, Hiyo tunnel ndo hii on your left. Barabara imepita ndani ya tunnel na juu yake kuna barabara nyingine.View attachment 2011825
Hizo ni residential flats hata Tz ziko nyingi kama hizo ila hapa tunaongelea business districsBongolala, utatoka nje ya hii cbd yenu lini? Kariakoo can't even match Nyayo Embakasi, 20 kms from the cbdView attachment 2012554View attachment 2012555View attachment 2012557
Arafu utasikia wakenya wanasema daraja lipo chiniView attachment 2011826
Zipo nyingi sana Mzee. This one is more clear

eti wanataka meli zipite chini 
sijui ziende wapi!! yaani hawa wajinga hawajui kuwa ilo daraja linaunganisha mto na bahari sasa meli zipite chini kwenda mtoni
.pia awajui kuwa ilo daraja ni kubwa sana ndiyo maana linaonekana lipo chini ila ukweli lipo juu sana. Tony254 komora096 MK254Majengo hayohayo matatu in different anglesThe point ilikuwa ulete sehemu kama hiyo nje ya Hiyo cbd yenu whether it's residential or commercial. Unafikiri hatujui Kariakoo ni residential area as well?
Secondly, Eastleigh is both a commercial and residential area. There are many businesses and office spaces in Eastleigh, as well as hotels. The level of economic activity in Eastleigh can't be rivalled by many areas in Dar.
Look at these buildings for example, do they kook like residential buildings to you?View attachment 2012559View attachment 2012560View attachment 2012563View attachment 2012566
View attachment 2012562View attachment 2012569
View attachment 2012570
Hapa ni karibu sana na mjini ila hayo mapengo yanatafakarisha sanaNairobi West towards South CView attachment 2012577
Why are we even comparing Nairobi with some fishing village?
Those colonial shelters ndio unaweka hapa na kulinganisha na dream houses za Dar?!!! Something must be wrong somewhere on your sideOfafa Jericho, one of the oldest residential areas in Eastlands, Nairobi. Looking way better than the dreamhouses in Dar's uswaziView attachment 2012583View attachment 2012584View attachment 2012585

La tanzanite ndiyo zuri kuliko yoteKigamboni Bridge imeshikilia rekodi ya daraja refu afrika mashariki na sasa rekodi imevunjwa na Tanzanite bridge,
Mwakani rekodi itavunjwa na Daraja la Kigongo Busisi Mwanza
But Kigamboni bridge remains beautiful View attachment 2011854
View attachment 2011855
View attachment 2011856
View attachment 2011857
View attachment 2011858
View attachment 2011859
View attachment 2011860
Wakunya wanatapatapa kuchafua tz
Leta basi residential flats density kama hizi tuone.Hizo ni residential flats hata Tz ziko nyingi kama hizo ila hapa tunaongelea business districs
Nairobi colonial sheltersThose colonial shelters ndio unaweka hapa na kulinganisha na dream houses za Dar?!!! Something must be wrong somewhere on your side![]()
Maumiv peleka sigimbiVumilia kaka.., wacha kelele.., ukubwa wa Dar ni nyie mifukara kujaza mji na udongo mlio jaza ushuzi kote kote.., developed area ni visehemu vidogo vidogo tu..,![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ni uchungu lakini zoea.
View attachment 2011525
View attachment 2011526
Unataka pafanane hapa ndio uridhike?Hapa ni karibu sana na mjini ila hayo mapengo yanatafakarisha sana
Ndio uchafu gani unaweka apaa..Wacha kuwa mjinga nanii... Kubalini jiji lenu asilimia kubwa ni uwazi. This is part of Ruai. Unafikiri hawa watu hawamiliki hizi ardhi wewe kilaza?
View attachment 2011534View attachment 2011535View attachment 2011538View attachment 2011541View attachment 2011545View attachment 2011548View attachment 2011550View attachment 2011551View attachment 2011553View attachment 2011554View attachment 2011558
I can give you so many such examples
Nilijua tu hauna majibu. Ukipata density ya maghorofa kama huyo ya Eastleigh nje ya cbd yenu njoo tuongee. Kwa sasa, povu ruksaMajengo hayohayo matatu in different angles
Wewe wacha tu nikunyamazie. Hicho kijiji hata kama Mombasa ndio huwezi linganisha nayo sasa Nairobi je?Ndio uchafu gani unaweka apaa..
. Mwanza iyoooView attachment 2012630View attachment 2012631View attachment 2012632View attachment 2012633
Wacha kutuonyesha aibu zako ndogondogo