Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama Uganda wangepitisha hio pipeline yao Kenya saa hii hio pipeline ingekuwa inatoa mafuta. Lakini walijifanya wajanja wakaamua kupeleka pipeline yao kwa Malazy. Sasa ona bado pipeline imwekwama. Kenya ni watu wachapa kazi, kama wangeileta huku kazi ingekuwa imeisha na pipeline ingekuwa imekamilika.
Tony nenda ona daktari bado una maumivu makali sana ya pipeline!!!unaowaita malazy wamechukua hiyo project kilaini sana pamoja na kuwa na distance fupi na advantage ya kututangulia kwny figisu!!!napata mashaka sana kama Kenya mko na power house yenye uwezo mkubwa kwny negations!!!mmezoea kutuma wazungu!!!
 
Tony nenda ona daktari bado una maumivu makali sana ya pipeline!!!unaowaita malazy wamechukua hiyo project kilaini sana pamoja na kuwa na distance fupi na advantage ya kututangulia kwny figisu!!!napata mashaka sana kama Kenya mko na power house yenye uwezo mkubwa kwny negations!!!mmezoea kutuma wazungu!!!
Pipeline yenyewe imeshajifia kifo cha mende.
 
A Kenyan coach ameisaidia Tanzania kushinda their first cricket trophy in history. Eliud Kipchoge aliongea na Mama vile anaweza wasaidia kwa mbio za masafa marefu. 😂😂😂 Ni vizuri kusaidia majirani haswa kama una uwezo.
 
We mbona unajitia ujuaji,na hujui chochote.? Unabishia ukweli.? Haya nakupa faida.. 1.. ujenzi wa barabara za lami 51km kwenye mji wa serikali 👇View attachment 2008419View attachment 2008418kwasasa hapo kuna ujenzi wa ministry zote za Tz, majengo 24 yenye gorofa kuanzia 6-12 yanajengwa hapa kwenye huu mji, facilities tofauti tofauti kama recreational parks and Malls.. by the way Dodoma pia kuna ujenzi wa ofisi tofauti tofauti za serikali zilizoisha kujengwa hivi karibuni na zinazoendelea kujengwa.. jengo la makao makuu ya NEC 👇View attachment 2008422OSHA👇View attachment 2008428OFISI YA Takwimu 👇View attachment 2008429PSPF DODOMA HQ👇View attachment 2008430View attachment 2008431LAPF DOM HQ👇View attachment 2008432Miradi mikubwa ya stendi 👇View attachment 2008450View attachment 2008451SOKO KUU DOM👇View attachment 2008452View attachment 2008453stendi ya Malory 👇View attachment 2008454and many more projects that are under way. 👇View attachment 2008433View attachment 2008437mfano hili lilikua ni jengo la uhamiaji 👇DomView attachment 2008438ujenzi wa UHAMIAJI HQ DOM👇View attachment 2008439View attachment 2008440also kuna housings projects zinazoendelea, huu👇 ni ujenzi wa nyumba 1000 unayofanywa na shirika la Nyumba la taifa HNC View attachment 2008444View attachment 2008445View attachment 2008446View attachment 2008447and recreational park (Chinangali recreational park) the largest multi purpose recreational park in EA 👇View attachment 2008455View attachment 2008456 many more.. AND this is old Dodoma CBD that you have no an idea of..👇View attachment 2008441View attachment 2008442View attachment 2008443View attachment 2008448View attachment 2008449hiv ni vitu vichache ambavyo nimefanikiwa kukupatia picha zake.. lakini ujue tu .. kuna DOM outer ring road 112km dual carriage way U/C,
2. Dom international airport
3. Dom international stadium
4. Dom indoor Arena
5.ikulu kubwa EA
n.k .. vitu ni vingi baba .. here I have a bonus video showing the most beautiful Political party's conference center in EA 👇 . NB uache kutusemea we fala .. eti ooh Dom sijui ni capital city yenye haina lami 😂😂 Kumbe hujawahi kufika na hujui chochote nyoko wewe.. Kuna mji wowote nje ya NAIROBI unawezana na DOM .. nawauliza nyie Don YF Tony254 Nicxie nairobae NairobiWalker .. nataka mkiamka tu mje na majibu sahihi

View attachment 2008417

Boss, Unapost jengo moja moja kuonyesha nini? I could do that for Eldoret or Nakuru or Kisumu and would beat that Dodoma of yours by far.
 
Dom ndio council yenye mtandao mkubwa wa lami kuliko council yoyote Tanzania, if you didn't know that

Yani hiki ndio dodoma, kijiji chenye mtandao mkubwa wa lami Danganyika?!
Na sasa kijiji cha kawaida kinakaa aje?
Danganyika mko nyuma kweli kama hii ndio your best.
 
KILA SIKU TUNAWAAMBIAGA KWAMBA WANACHOTUZIDI NI KUPIGA PICHA TU SIO GROUND .. njoo bro The best 007 utukane hizi mbwa za kunya land . picha zimepigwa kutokea mikocheni .. nataka uwanyooshe mno 👇makumbusho 😍 View attachment 2008467View attachment 2008468morocco 👇View attachment 2008469Dah DSM tamu nyie PPF tower ilee mawasiliano 👇View attachment 2008476WOW.!! mikocheni 👇
2997962_789-1536x1024.jpg
View attachment 2008483View attachment 2008484.. Nacheka sana nikiwaza wataleta nini kulinganisha na hizi neighborhoods za New Dar es Salaam.. apartments au.? 😂😂😂. Halafu wala haturingi .. Asubuhi njema you all .. Nawapenda wote.. Tony254 mtoto hautaki huyu 👇View attachment 2008485beautiful DAR ES SALAAM..

View attachment 2008482
Kawaida sana. Mombasa beats this.

Halafu picha zile zile from the stretch from posta to Mbezi
Nyinyi watu Nairobi hamuijui kabisa. Hamuijui.
1.PNG
2.jpg
3.PNG
4.PNG
5.jpg
6.jpg


Nionyeshe Mazingira kama haya hapo Dar
 
Yani hiki ndio dodoma, kijiji chenye mtandao mkubwa wa lami Danganyika?!
Na sasa kijiji cha kawaida kinakaa aje?
Danganyika mko nyuma kweli kama hii ndio your best.
Slum ya Nairobi tu haina barabara zenye hizi specifications, 90% ya streets za Dodoma Zina hizi specifications, wide lanes, signed, sideways, lights, cleaned, decongested

IMG_20211107_160444_198.jpg
IMG_20211107_160434_229.jpg
 
Unatupostia industry ndogo unaona kama umefika😁😁. Kipevu Oil Terminal with a capacity of 250,000DWT has more capacity than all the ports in Tanzania combined.

View attachment 2007984
siku hzi singapore banyan oil terminal imehamia mombasa mamaee😂😂😂😂 alaf nimeona watu wame like na kushangilia

Tony254 hata wewe pia 😂😂😂😂 mtoto wa kondoo ni kondoo tu

CACA87E4-E93A-4EB7-A72B-DC001C48AA16.jpeg
 
Back
Top Bottom