Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa = Dar.., wacha kujichocha 😂 😂 😂 😂 .,
Rank ya African cities by economic output(GDP)., uwezo wa kiuchumi haupati Mwanza in Africa, East Africa ni nairobi, Dar, Mombasa na Kampala., fanyeni utafiti wacha kukurupuka ovyo ovyo..,
View attachment 2007930

Mwanza Gold Refinery Plant​

1636716823115.png


1636716867439.png
 
pia Thika has many industries that Mombasa haina, so Thika imeizidi Mombasa? idiocy hapa., infact Kiambu county is ahead of Mwanza hadi revenue.., therefore Mwanza can't even come close to Nakuru..,
Unganisha Thika, Mombasa, Nakuru, Kiambu. Tupambane na Mwanza.
 
Source Kenya talk 😂
Ukweli inatesa, zoea kaka, vumilia, noana unajaribu kutetea kijiji cha Mwanza kweli, tia bidii, ndoto zako uenda zikatimia, "dreams are valid" kasema dada yetu Lupita 😂 😂 😂 😂 .,
 
Uchumi wa Nairobi unazidi Dar-is-a-slum mara mbili na uongeze $4b.
$54 vs $25.

Mwanza ni kijiji cha watega samaki maana hakionekani mahali popote.
JamiiForums498260911.jpg
 
Back
Top Bottom